Wabunge wetu wapendwa wafanye safari chini ya bahari wakajifunze utalii na ile nyambizi

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,531
15,719
Elimu haina mwisho.

Wabunge wetu ni watu makini na kama walivyoenda kujifunza kule Dubai na wakaja kufanya maamuzi yenye maslahi kwenye uwekezaji wa bandari, tunawaomba wabunge wetu hata 100 wakiongozwa na spika waende na kile chombo cha Ocean Gate chini ya bahari ili walete mrejesho wa meli ya Titanic na waone namna ya kushauri mambo ya utalii wetu na jinsi ya kuukuza Kwa sababu tuna bahari hiyo itachochea utalii wa baharini.

Wabunge wetu kama Musukuma na Lusinde wajumuishwe humo. Lakini pia ili kupata ripoti nzuri watangazaji wetu nguli kama Kitenge, Hando na Zembwela nao waende ili kurekodi habari kamili na celebrities wetu kama Baba levo, Mwijaku, Steve Nyerere waende kuwakilisha kundi la wasanii.

Dunia ni kujifunza kama walivojifunza dubai waende pia huko wakajifunze mambo ya utalii.
 
Make sure it is connected..
20230630_184030.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingependeza zaidi wangesindikizwa na Commander in Chief ili wajifunze milele kwa pamoja yaliyo chini ya maji.

Ikitokea ikawa ni kwenda kwa awamu basi awamu ya kwanza ingejumuisha Mzee wa Tozo, February Marope bila kumsahau mzee wa bao la mkono kwa uongozi yakinifu wa nahodha commander chief.
 
Elimu haina mwisho
Wabunge wetu ni watu makini na kama walivyoenda kujifunza kule Dubai na wakaja kufanya maamuzi yenye maslahi kwenye uwekezaji wa bandari,
Tunawaomba wabunge wetu hata 100 wakiongozwa na spika waende na kile chombo cha Ocean Gate chini ya bahari ili walete mrejesho wa meli ya titanic na waone namna ya kushauri mambo ya utalii wetu na jinsi ya kuukuza,
Kwa sababu tuna bahari hiyo itachochea utalii wa baharini,
Wabunge wetu kama msukuma na Lusinde wajumuishwe humo,
Lakini pia ili kupata ripoti nzuri watangazaji wetu nguli kama kitenge, hando na zembwela nao waende ili kurekodi habari kamili na celebraties wetu kama Baba levo, mwinjaku, steve nyerere waende kuwakilisha kundi la wasanii,
Dunia ni kujifunza kama walivojifunza dubai waende pia huko wakajifunze mambo ya utalii,
Kweli mmewachoka 😁😁😁😁 ni kuombeana mabaya tuu
 
Elimu haina mwisho.

Wabunge wetu ni watu makini na kama walivyoenda kujifunza kule Dubai na wakaja kufanya maamuzi yenye maslahi kwenye uwekezaji wa bandari, tunawaomba wabunge wetu hata 100 wakiongozwa na spika waende na kile chombo cha Ocean Gate chini ya bahari ili walete mrejesho wa meli ya Titanic na waone namna ya kushauri mambo ya utalii wetu na jinsi ya kuukuza Kwa sababu tuna bahari hiyo itachochea utalii wa baharini.

Wabunge wetu kama Musukuma na Lusinde wajumuishwe humo. Lakini pia ili kupata ripoti nzuri watangazaji wetu nguli kama Kitenge, Hando na Zembwela nao waende ili kurekodi habari kamili na celebrities wetu kama Baba levo, Mwijaku, Steve Nyerere waende kuwakilisha kundi la wasanii.

Dunia ni kujifunza kama walivojifunza dubai waende pia huko wakajifunze mambo ya utalii.
Maombi yako yatimizwe Sawa sawa na mahitaji yako na yetu wote. Aminaaa
 
Ingependeza zaidi wangesindikizwa na Commander in Chief ili wajifunze milele kwa pamoja yaliyo chini ya maji.

Ikitokea ikawa ni kwenda kwa awamu basi awamu ya kwanza ingejumuisha Mzee wa Tozo, February Marope bila kumsahau mzee wa bao la mkono kwa uongozi yakinifu wa nahodha commander chief.
Halafu nyambizi ipate hitlafu, oksihen iishe chombo kilipuke, maisha ya watanzania yaanze ukurasa mpya.
 
Back
Top Bottom