Kwahiyo waache tu wananchi waendelee kuawa na hao wanaohisiwa Usalama, ni bora damu iendelee kumwagika lakini chama kiwe hai. Kweli siasa ni kitu cha ajabu, yaani mtu kama bashe anadai katekwa na kuteswa akae kimya? si bora lichama life mtu uendelee kuishi salama?.[HASHTAG]#NIPASHE[/HASHTAG] Inaelezwa kuwa Wabunge wa CCM wamezuiwa na chama kuibua mijadala yenye utata kama wa utekaji ili kulinda hadhi ya chama tawala.
My ===Wasiibue mijadala ya utekaji ili kulinda hadhi ya chama! Kuna maswali mengi sana katika hii sentensi
Wanajali maslahi ya chama kuliko ya Wabunge na wananchi ambayo mpaka leo hawajui usalama wao huu upuuzi kabisa Hussein Bashe atakuwa ameshaelewa nini kinaendeleaKwahiyo waache tu wananchi waendelee kuawa na hao wanaohisiwa Usalama, ni bora damu iendelee kumwagika lakini chama kiwe hai. Kweli siasa ni kitu cha ajabu, yaani mtu kama bashe anadai katekwa na kuteswa akae kimya? si bora lichama life mtu uendelee kuishi salama?.
hawa jamaa hata shetani anawashangaa ujueKwahiyo waache tu wananchi waendelee kuawa na hao wanaohisiwa Usalama, ni bora damu iendelee kumwagika lakini chama kiwe hai. Kweli siasa ni kitu cha ajabu, yaani mtu kama bashe anadai katekwa na kuteswa akae kimya? si bora lichama life mtu uendelee kuishi salama?.
Wabunge walivyo waoga wamekubaliana na huo upuuzi ndo jana Mbunge wa Ally Kessy alikuwa anaongea pumba kumbe anatimiza agizo la chama. Huu upuuzi kabisa maslahi ya wananchi kuhusu usalama wao ni muhimu kuliko maslahi ya chama chochote cha siasa TanzaniaSijui ni maendeleo gani yanayopatikana bila usalama wa watu kuwa mzuri,leo unapozungumizia usalama wa watu unaambiwa unaleata maswala ya kisiasa,kwel ccm mlituingiza chaka kwa huyu dereva
Sahihi kabisaHata wasipo tutetea ipo siku Mungu atasimama kulitetea taifa bali wao wataaibika na uzao wao
Sawa, nawaapia hata mjukuu wa jesca ataulizwa kwa nini babu yako aliwateka watu!Baada ya juzi usiku kufanyika kikao cha wabunge wote wa CCM jijini dodoma inaelezwa kuwa Wabunge wa CCM wamezuiwa na chama kuibua mijadala yenye utata kama wa utekaji ili kulinda hadhi ya chama tawala.
View attachment 495045
My ===Wasiibue mijadala ya utekaji ili kulinda hadhi ya chama! Kuna maswali mengi sana katika hii sentensi
Chama kwanza uhai wa watu baadae, CCM haijali uhai wa watanzania wao wapo tayari watu wafe tu kama inzi lakini CCM iponeBaada ya juzi usiku kufanyika kikao cha wabunge wote wa CCM jijini dodoma inaelezwa kuwa Wabunge wa CCM wamezuiwa na chama kuibua mijadala yenye utata kama wa utekaji ili kulinda hadhi ya chama tawala.
View attachment 495045
My ===Wasiibue mijadala ya utekaji ili kulinda hadhi ya chama! Kuna maswali mengi sana katika hii sentensi
CCM-Chukua chako mapemaWabunge walivyo waoga wamekubaliana na huo upuuzi ndo jana Mbunge wa Ally Kessy alikuwa anaongea pumba kumbe anatimiza agizo la chama. Huu upuuzi kabisa maslahi ya wananchi kuhusu usalama wao ni muhimu kuliko maslahi ya chama chochote cha siasa Tanzania
kwa sasa ni Bashite kwanza hao wengine kufeni tu mtekwe mfanyiwe vyovyote lakini isitokee mtu akajaribu kumteka Bashite ataona cha mtema Kuni kwani mpaka FBI wataalikwa kuja kucgunguzaSio kulinda chama, bali kumlinda mkuu na bashite wake ambaye yupo desperate kumlinda
Ni bora Bashite na yy angeonja ubaya wa kutekwa ndipo CCM watazindukaWanawaza Matumbo yao!!