Wabunge, Ili kushinda vita hii kirahisi muanze na huyu naibu spika

Ili vita hii iishe haraka na kwa ufanisi anzeni na kumuondoa naibu spika TULIA AKSON kwanza... Vita hii tutashinda asubuhi sana.

Nawatakia utekelezaji mwema.

Huyu anatakiwa Mwisho wa April asiwe NS tena.Kama JPM anataka ampe uwaziri
 
Ili vita hii iishe haraka na kwa ufanisi anzeni na kumuondoa naibu spika TULIA AKSON kwanza... Vita hii tutashinda asubuhi sana.

Nawatakia utekelezaji mwema.
Huyo NAIBU SPIKA, Ndiye SPIKA Ajae 2020-2025. Jiandaeni Kisaikolojia
 
Ili vita hii iishe haraka na kwa ufanisi anzeni na kumuondoa naibu spika TULIA AKSON kwanza... Vita hii tutashinda asubuhi sana.

Nawatakia utekelezaji mwema.
Kweli, wamkimtengenezea zengwe la la makonda, hatapona.
Swala apo ni timing tu.
 
Ili vita hii iishe haraka na kwa ufanisi anzeni na kumuondoa naibu spika TULIA AKSON kwanza... Vita hii tutashinda asubuhi sana.

Nawatakia utekelezaji mwema.
uwezo wa kupambana na Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hawana na hawatakuwa nao, kwa aina hii ya wabunge tulionao.Utashangaa watavyoanza kutoa pongezi kwa msema kweli ni pmenzi wa Mungu
 
JPM anaimarisha umoja kati ya wapinzani na CCM kwa sababu hakuna aliye salama tena na kesho yako huijui itakuwaje?
 
Nakwambia ivi bunge lijalo Tulia hatutaki ujinga wake. Na uzuri wabunge wa CCM wamesema watatuunga mkono kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…