ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 6,998
- 16,759
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga
Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini
Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu
Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR. Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir