Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 340
- 705
Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya (KUJ) Julai 22, 2024 ilieleza malalamiko ambayo Waandishi wa Habari wanataka yashughulikiwe ikiwemo kudai Uhuru wa Vyombo vya Habari, Usalama wa Waandishi wa Habari na Upatikanaji wa Habari bila Vizuizi
Mnamo Julai 19, 2024 KUJ ilitangaza kufanya maandamano ya Amani Julai 24, 2024 kupinga Msimamo wa Serikali kuhusu Uhuru wa Vyombo vya Habari
======For English Audience======
Journalists across the country are today set to take to the streets to protest over alleged attacks on media personalities by the police.
Kenya Union of Journalists Erick Oduor announced Friday that they will be going to the streets because the freedom of journalists has been threatened.
SOURCE: THE STAR