Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,221
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba.

Chanzo: Shaffih Dauda

Haya sasa wana Yanga SC mlioko hapa JamiiForums hebu upesi sana tu mjibuni huyu 'Genius' wangu wa Kihaya sawa?
 
Tuache tusherehekee ubingwa kwanza, huyo Msolla yupo tu pale kama kivuli, wenye timu ni sisi wananchi, na anayelipa mishahara ya wachezaji sio Msola bali GSM anayewakilishwa na Hersi. Ili kuondoa hiyo sintofahamu ya ukivuli, tulimuonya mapema mtu atakayechukua fomu ya kugombea urais kumpinga Hersi wa GSM
 
Mpelekee hizi.

IMG_0507.jpg
 
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba.

Chanzo: Shaffih Dauda

Haya sasa wana Yanga SC mlioko hapa JamiiForums hebu upesi sana tu mjibuni huyu 'Genius' wangu wa Kihaya sawa?

An idiot is always busy with trivial issues
 
Back
Top Bottom