Shule zimefungwa huyo mwandishi anazungumzia vipi vya madarasa yapi? Hii habari inalenga kuchonganisha walimu na serikali
Roho inaniuma mpaka natamani kuhama nchi hii. Maisha ni watu na watu ndio sisi tuwajali basi waalimu wetu. Roho imeninyonga nyonga asubuhi hii kwa hii taarifa. Inauma walahi
Aliamua kuwa mwalimu ili apate kipato, ni maamuzi yake binafsi.
Roho inaniuma mpaka natamani kuhama nchi hii. Maisha ni watu na watu ndio sisi tuwajali basi waalimu wetu. Roho imeninyonga nyonga asubuhi hii kwa hii taarifa. Inauma walahi
Nidhamu ineludi kiasfran cyo kama zamanAlafu kuna watu wanajidanganya eti mh.amerudisha nidhamu ya watumishi.Nidhamu itatoka wapi wakati maslahi yao yamepuuzwa?Acheni kuwaza ujinga!
Mkuu hata ukiwalisha sumu wanaoathirika ni sisi maskini.Nadhani walimu wafundishe kwa bidii ila katika kufundisha kwao wahakikishe watoto wanajitambua.Maskini tusipouangana wanasiasa watatuburuza.Ila cha maajabu wazazi maskini huwa wanaungana na Wanasiasa kuwakandamiza walimu.Tutatawaliwa mpaka Yesu atakaporudiMasikini walimu mishahara midogo,madai na malimbikizo yao wamedhulumiwa.
Dhambi,walimu amueni kuwalisha sumu hao watoto watapindua tu hawa wenye kujipatia mahela mengi.
Mkuu sasa Huyo mwalimu atapata wapi muda wa kuandaa somo ili madent wapate kilicho bora?ataishia tuu kuzuga class ,mind u kwamba mwalimu in MTU was kusoma muda woteBodaboda inasaidia sana tu. Kuna jamaa ni mwalimu sekondari anapiga bodaboda jioni na siku za weekend, ana wateja wa simu na anakaa kijiweni sometimes. Kwa wiki anakunja Kibindoni Kati ya 40,000 hadi 60000 na zaidi. Kwa hiyo kwenye familia anatumia fedha ya bodaboda kuliko mshahara wake. Mimi mwenyewe nina mpango wa kununua bodaboda nipigie kazi muda wa ziada baada ya kazi za ajira. Hizi sio zama za kulala lala na kukaa vijiweni mkijadili siasa na mapenzi.
Walimu wanaongelewa sana maana hawana kabisa nafasi ya kupata posho wala karushwasiyo walimu tu! mishahara iboreshwe kwa wafanayakazi wote hali ni ngumu. walimu ni kwa sababu wapo karibu na jamii ndio maana tunawajuwa maisha yao
Mshahara wa nwalimu haulipwi kwa kutegemea idara unayofanyia kazi bali hutegemea cheti ulichoanzia kazi mfano mwl wa ngazi ya cheti huanzia kulipwa TGTS B2 na yule wa diploma huanzia kulipwavkwa TGTS C na yule wa degree huanzia kulipwavkwa TGTS D sasa hiyo mishahara haijalishi uko secondary au msingi,Sasa shida iko hivi mfano huyo mwl wa TGTS D degree holder analipwa 716000 kwa mwezi pamoja na makato yote yatoke kwenye huo mshahara kwann asiendeshe bodaboda kama inalipa.Kwani walimu wanalipwaje kwa mwezi!
-sekondari
-msingi.
Nipo na walimu wanajidai kwl
Kwamba oooh! Mishahara yao ni mizuri.