Wa-Nigeria wameharibu sana ladha ya comedy clips kwa kuingiza makelele yao ya vionjo background

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
49,629
72,490
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.

Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
 
Kila kitu ni cha muda tu, vinapita hivyo tulia
 
Vichekesho kukuchekesha inategemeana na kiwango cha stress ulizonazo , vichekesho vinavyomchekesha Elon kwangu mimi naweza kuona ni upuuzi tu.
 
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.

Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
Nenda kamcheki sabinus
 
Back
Top Bottom