barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
wakutafute na wewe uipo wakupige picha maana sidhani wa mikoani walishawahi kupitia milembe ka weweHabari zenu!
Kwa wale wa kuja, hasa wanaume wa mikoani, nawasihi mpige picha ktk maeneo haya ya Dar kama ukumbusho mtakaporudi bushi, endapo hamta nogewa na kusahau kwenu.
Mimi si mzaramo, ila nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa pia nimesoma mikoani. Hivyo najivunia Dar.
Kwa wale wakuja, ili ujulikane kuwa ulikuja Dar, na umetembea Tanzania, hakikisheni mnapiga picha mnapokuwa Dar ktk maeneo haya:
1. Mnara wa askari,
2. Mnara wa saa,
3. Coco beach,
4. Uwanja wa taifa wa mpira,
5. Ukiwa ktk ferry na magorofa ya mjini Dar yakionekana nyuma yako ktk picha,
6. Daraja la Manzese,
7. Ndani ya Dala dala na nje ya daladala na ionekane ni daladala ya kwenda wapi,
8. Jengo la Tazara,
9. Daraja la Kigamboni,
10. Muhimbili hospital,
11. Julius Nyerere International Airport,
12. Ndani na nje ya treni ya Mwakyembe, etc
Kwa wale wanadar es salaam mnaweza ongezea baadhi ya maeneo! Licha ya mimi kuwa mkazi wa Dar, nimepiga picha haya maeneo yote na nikiziangaliaga huwa nafurahi sana. Ni kumbukumbu nzuri.
Wewe ni PERFECT IMBECILE. Asante!mkuu una miaka miwili tokea ujiunge jf, but You still post thread as astudent of ordinary level, njoo jukwaa letu la "jamii intelligence" uongeze akili achana na mathread ya kindezi/kis**** unajaza server tu.
Ila Milembe haiko Dar, iko Dodoma, huko ni mkoani.wakutafute na wewe uipo wakupige picha maana sidhani wa mikoani walishawahi kupitia milembe ka wewe
Nimeweka, ila nimeliita Daraja la Kigamboni.Umesahau Mwl Nyerere Bridge.
Sikuiona, thanks.Nimeweka, ila nimeliita Daraja la Kigamboni.
Alafu anajiita GT.mkuu una miaka miwili tokea ujiunge jf, but You still post thread as astudent of ordinary level, njoo jukwaa letu la "jamii intelligence" uongeze akili achana na mathread ya kindezi/kis**** unajaza server tu.
Wote mlioko Dar ni mbwembwe tu,ninyi nyote ni mmeenda tu huko kutokea Mbalali,Mpwapwa,Meatu na kwingineko.sisi tuko hapa RockCity na amani tele,noti kidogo za kutosha kukidhi maisha yetu.hatulalii mihogo ya kukaanga na tuna nguvu ya kiroho na mwili,ngangari yani.hatuhitaji kupiga picha samaki wala mawe yetu,sisi tunatafuta pesa,na tukija Dar tunakuja kwa shughuli maalumu na tunasepa,hatuji kupiga picha maana hakuna kama RockCity.Aksante mkuuHabari zenu!
Kwa wale wa kuja, hasa wanaume wa mikoani, nawasihi mpige picha ktk maeneo haya ya Dar kama ukumbusho mtakaporudi bushi, endapo hamta nogewa na kusahau kwenu.
Mimi si mzaramo, ila nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa pia nimesoma mikoani. Hivyo najivunia Dar.
Kwa wale wakuja, ili ujulikane kuwa ulikuja Dar, na umetembea Tanzania, hakikisheni mnapiga picha mnapokuwa Dar ktk maeneo haya:
1. Mnara wa askari,
2. Mnara wa saa,
3. Coco beach,
4. Uwanja wa taifa wa mpira,
5. Ukiwa ktk ferry na magorofa ya mjini Dar yakionekana nyuma yako ktk picha,
6. Daraja la Manzese,
7. Ndani ya Dala dala na nje ya daladala na ionekane ni daladala ya kwenda wapi,
8. Jengo la Tazara,
9. Daraja la Kigamboni,
10. Muhimbili hospital,
11. Julius Nyerere International Airport,
12. Ndani na nje ya treni ya Mwakyembe, etc
Kwa wale wanadar es salaam mnaweza ongezea baadhi ya maeneo! Licha ya mimi kuwa mkazi wa Dar, nimepiga picha haya maeneo yote na nikiziangaliaga huwa nafurahi sana. Ni kumbukumbu nzuri.
12.Wapige pale Nkrumah Hall ya Udsm ili wakiwa wanaiona kwenye noti ya 500 wanaikumbuka DarHabari zenu!
Kwa wale wa kuja, hasa wanaume wa mikoani, nawasihi mpige picha ktk maeneo haya ya Dar kama ukumbusho mtakaporudi bushi, endapo hamta nogewa na kusahau kwenu.
Mimi si mzaramo, ila nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa pia nimesoma mikoani. Hivyo najivunia Dar.
Kwa wale wakuja, ili ujulikane kuwa ulikuja Dar, na umetembea Tanzania, hakikisheni mnapiga picha mnapokuwa Dar ktk maeneo haya:
1. Mnara wa askari,
2. Mnara wa saa,
3. Coco beach,
4. Uwanja wa taifa wa mpira,
5. Ukiwa ktk ferry na magorofa ya mjini Dar yakionekana nyuma yako ktk picha,
6. Daraja la Manzese,
7. Ndani ya Dala dala na nje ya daladala na ionekane ni daladala ya kwenda wapi,
8. Jengo la Tazara,
9. Daraja la Kigamboni,
10. Muhimbili hospital,
11. Julius Nyerere International Airport,
12. Ndani na nje ya treni ya Mwakyembe, etc
Kwa wale wanadar es salaam mnaweza ongezea baadhi ya maeneo! Licha ya mimi kuwa mkazi wa Dar, nimepiga picha haya maeneo yote na nikiziangaliaga huwa nafurahi sana. Ni kumbukumbu nzuri.
Atakuwa bado anasoma primary hakuna mwenyewe kwa katiba inasema mtanzania ana uhuru wa kuishi mahala popote ili mradi asivunje sheriaHabari zenu!
Kwa wale wa kuja, hasa wanaume wa mikoani, nawasihi mpige picha ktk maeneo haya ya Dar kama ukumbusho mtakaporudi bushi, endapo hamta nogewa na kusahau kwenu.
Mimi si mzaramo, ila nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa pia nimesoma mikoani. Hivyo najivunia Dar.
Kwa wale wakuja, ili ujulikane kuwa ulikuja Dar, na umetembea Tanzania, hakikisheni mnapiga picha mnapokuwa Dar ktk maeneo haya:
1. Mnara wa askari,
2. Mnara wa saa,
3. Coco beach,
4. Uwanja wa taifa wa mpira,
5. Ukiwa ktk ferry na magorofa ya mjini Dar yakionekana nyuma yako ktk picha,
6. Daraja la Manzese,
7. Ndani ya Dala dala na nje ya daladala na ionekane ni daladala ya kwenda wapi,
8. Jengo la Tazara,
9. Daraja la Kigamboni,
10. Muhimbili hospital,
11. Julius Nyerere International Airport,
12. Ndani na nje ya treni ya Mwakyembe, etc
Kwa wale wanadar es salaam mnaweza ongezea baadhi ya maeneo! Licha ya mimi kuwa mkazi wa Dar, nimepiga picha haya maeneo yote na nikiziangaliaga huwa nafurahi sana. Ni kumbukumbu nzuri.
Daraja la Kigamboni. Mbona kalitajaUmesahau Mwl Nyerere Bridge.
Kama hujalelewa uliza Basi maana umetoka nje ya mada.Atakuwa bado anasoma primary hakuna mwenyewe kwa katiba inasema mtanzania ana uhuru wa kuishi mahala popote ili mradi asivunje sheria
Nimekulewa na hiyo ndiyo hoja yanguKama hujalelewa uliza Basi maana umetoka nje ya mada.