Vyuo vinavyotoa Masomo kuanzia Mchana au Jioni Kwa kada ya Uhandisi.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naomba kufahamu vyuo vinavyofundisha kozi za uhandisi kama "Diploma" in (Civil, Electrical, Water Eng, Mechanical,Computer etc) ambavyo mwanafunzi anaweza soma asbh na ratiba nyingine wanaweza kuingia mchana au jioni kwa wanafunzi wengine ambao wanafanya kazi au shughul nyngne mida ya asbh. Naomba kujua sanasana kwa vyuo kama:

-DIT.
-Chuo cha maji (WDMI) .
-NIT.
-Institute of Land.
Na vyuo vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…