Vyuo vikuu: Hakikini uhalali wa vyeti vya sekondari vya wahitimu wenu woote

puzzom

Member
May 10, 2017
23
67
Leo ningependa kutoa wito kwa vyuo vikuu vyote (public na private), vihakiki uhalali wa vyeti vya secondari vilivyowahi kuwasilushwa kwao na wahitimu wao kama sifa za kuomba kuchukua masomo ktk vyuo vyao. Uhakiki huu unaweza kuanzia miaka ya 80 au 90 mpaka 2016. Nina hakika hapa watakamatwa wengi sana waliojazana sekta binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…