Nakushauri google best university for civil engineering in the world utapata majibu. Najua marekani ni ghali sana. Kuna nchi kama China, india, Russia, Ukraine. Na nchi ya umoja wa ulaya nafikiri ada zao hazitakuwa ghali changamoto kubwa ni lugha Russia, Ukraine na nchi za ulaya sio zote wanataka mtu asome kwanza lugha yao. Kama upo dar unaweza kwenda kweye balozi za hizo nchi kwa maelezo zaidi.