jacksonEstate Member Apr 1, 2017 58 52 Apr 2, 2017 #1 Vyumba na sebule vinapatikana mbezi beach kwa bei nafuu kabisa..... Call 0624179577.
yello masai JF-Expert Member Jan 8, 2016 3,636 3,659 Apr 4, 2017 #3 jacksonEstate said: Vyumba na sebule vinapatikana mbezi beach kwa bei nafuu kabisa..... Call 0624179577. Click to expand... Weka bei kabla hatujapiga simu
jacksonEstate said: Vyumba na sebule vinapatikana mbezi beach kwa bei nafuu kabisa..... Call 0624179577. Click to expand... Weka bei kabla hatujapiga simu
jacksonEstate Member Apr 1, 2017 58 52 Apr 4, 2017 Thread starter #4 yello masai said: Weka bei kabla hatujapiga simu Click to expand... Singe master 120,000 mpaka 100,000... Two master 200,000 mpaka 350,000.. Three master 400,000 mpaka 500,000.
yello masai said: Weka bei kabla hatujapiga simu Click to expand... Singe master 120,000 mpaka 100,000... Two master 200,000 mpaka 350,000.. Three master 400,000 mpaka 500,000.
king kan JF-Expert Member May 6, 2011 1,634 2,056 Apr 4, 2017 #5 jacksonEstate said: Singe master 120,000 mpaka 100,000... Two master 200,000 mpaka 350,000.. Three master 400,000 mpaka 500,000. Click to expand... Hivi vyumba ndio vya aina gani? Three master ndio nini? Kwa nini usiandike tangazo vizuri ukaweka picha na maelezo ya kutosha? Kati ya sekta zilizovamiwa hii ya real estate inaongoza.
jacksonEstate said: Singe master 120,000 mpaka 100,000... Two master 200,000 mpaka 350,000.. Three master 400,000 mpaka 500,000. Click to expand... Hivi vyumba ndio vya aina gani? Three master ndio nini? Kwa nini usiandike tangazo vizuri ukaweka picha na maelezo ya kutosha? Kati ya sekta zilizovamiwa hii ya real estate inaongoza.
Hechinodemata JF-Expert Member Sep 16, 2016 1,483 3,327 Apr 4, 2017 #7 Nafikiri huyu dalali na yeye anadalalia baada ya kupata fununu ya uwepo wa vyumba kutoka kwa wenzake, msameheni bure
Nafikiri huyu dalali na yeye anadalalia baada ya kupata fununu ya uwepo wa vyumba kutoka kwa wenzake, msameheni bure
B barack15 Member May 2, 2016 36 14 Apr 6, 2017 #8 jacksonEstate said: Singe master 120,000 mpaka 100,000... Two master 200,000 mpaka 350,000.. Three master 400,000 mpaka 500,000. Click to expand... Fafanua basi hiyo single nini na MBEZI beach ipi?
jacksonEstate said: Singe master 120,000 mpaka 100,000... Two master 200,000 mpaka 350,000.. Three master 400,000 mpaka 500,000. Click to expand... Fafanua basi hiyo single nini na MBEZI beach ipi?
Samcezar JF-Expert Member May 18, 2014 13,095 22,705 Sep 26, 2017 #9 king kan said: Hivi vyumba ndio vya aina gani? Three master ndio nini? Kwa nini usiandike tangazo vizuri ukaweka picha na maelezo ya kutosha? Kati ya sekta zilizovamiwa hii ya real estate inaongoza. Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha umemchana utamu sana
king kan said: Hivi vyumba ndio vya aina gani? Three master ndio nini? Kwa nini usiandike tangazo vizuri ukaweka picha na maelezo ya kutosha? Kati ya sekta zilizovamiwa hii ya real estate inaongoza. Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha umemchana utamu sana