A
Anonymous
Guest
Habari JamiiForums.
Manispaa ya Singida vyoo vya umma katika stendi ya zamani, vyoo havina sinki za kunawia mikono, zilizopo zimeharibika wameweka ndoo na kikombe, mtu akitoka chooni anachota maji na kunawa.
Hii si salama kabisa kwa watumiaji wa vyoo hivyo , serikali ilione hili.
Kama kutengeneza hayo masinki ni shida basi hata ndoo za maji tiririka ziwepo.
Wanabeba mia tatu zetu bila kujali afya zetu.
JamiiForums tusaidieni kupiga kelele tuponywe afya zetu