Vyoo vya abiria Stendi ya Msamvu Morogogoro vinasikitisha, mamlaka husika zitembelee kujionea

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
59,506
103,168
Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?

Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.

Basi kufika mlangoni Tu gharama ni 300 badala ya 200 kama stand zingine na malipo haya hayana risiti.

Kuingia vyooni, vyoo havina maji wala mabomba hayatowi maji, kwingine koki zimeharibika, ukijiuliza stand hii imezinduliwa lini ndio unaanza kuhisi labda Sisi tumelaaniwa.

Sasa tunaomba mamlaka husika zitupie macho hizi sehemu zinazotowa huduma muhimu afya za watu ni muhimu Sana, pesa waendelee kuzitafuna lakini Watanzania wanastahili huduma Bora.

Cc; Pascal Mayalla tunaomba watu wa media house mliangalie hili ni kero kama Ile kero ya Abiria kulanguliwa vyakula Kwa kupelekwa kula sehemu ambayo dreva ana ganji yake matokeo yake wengine tumeamuwa kususa kabisa kula njiani.
 
Hizo mamlaka husika zinajua kukusanya pesa tu kwao ndio la muhimu. Lkn kwenye usafi ni sifuri kabisa. Kama hawawezi usimamizi wakodishie watu binafsi wafanye biashara ya choo
 
Inasikitisha sana. sehemu za kula utafikiri ni za maana sana, ila gharama zake utajuta. mimi nishaamua nikisafiri sili kabisa, labda kama nasafiri siku mbili
vyoo vya msamvu vinasikitisha na uongozi unakusanya tu hela
stand ya dodoma maji yapo sabuni hakuna
Tuliza mshono. Halmashauri imeagiza V8 Kwa ajili ya Meya, Mkurugenzi na Afisa biashara mwandamizi. Wananchi pambaneni na hali zenu, mkifa mkaombe gari la kubeba maiti pale kwa tajiri
 
Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?

Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.

Basi kufika mlangoni Tu gharama ni 300 badala ya 200 kama stand zingine na malipo haya hayana risiti.

Kuingia vyooni, vyoo havina maji wala mabomba hayatowi maji, kwingine koki zimeharibika, ukijiuliza stand hii imezinduliwa lini ndio unaanza kuhisi labda Sisi tumelaaniwa.

Sasa tunaomba mamlaka husika zitupie macho hizi sehemu zinazotowa huduma muhimu afya za watu ni muhimu Sana, pesa waendelee kuzitafuna lakini Watanzania wanastahili huduma Bora.

Cc; Pascal Mayalla tunaomba watu wa media house mliangalie hili ni kero kama Ile kero ya Abiria kulanguliwa vyakula Kwa kupelekwa kula sehemu ambayo dreva ana ganji yake matokeo yake wengine tumeamuwa kususa kabisa kula njiani.
Picha ni muhimu , picture speaks 🔊🔊🔊🔊🔊📢📢📢
 
Umeniangusha!
 
asilimia 90 ya sisi waswahili baada ya kutumia choo, hatuflash au tuseme kukiacha kisafi . kukimbilia kudai mamlaka husika ni suala la pili, jambo la kwanza sisi wenyewe waafrika tubadilike, usafi uanzie kwetu, kama uamini tembelea maeneo yafuatayo,
1. vyuoni
2. maofisini
3. sokoni
yaani kitu cha kwanza waafrika tubadilike , angalia hata mitaro maeneo tunayoishi, jitu linageuza mtaro ndo jalala halafu linakuja kusema ";unaona hii mitaro,"imejaa takataka mamlaka zinazohusika muje kuzibu" Hovyooo!!!
 
Unakuta Jamaa Amevimba Chooni Anataka Kiingilio Ndani Kuchafu
Ukweli Kabisa Wakandarasi Wa Vyoo Vyote Stendi Kubwa Kila Siku
Huondoka Na Ukwasi Mzito Mno Kuliko Hata Pesa Inayopelekwa
Jiji , Manispaa, Halmashauri Yoyote

Viongozi Wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom