Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,676
wanakuambia tupo tayari kila nyasi kulijo misaada ya masharti
Tatizo letu Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.Hiyo mahakama ya mafisadi ni yanini ilivyokuwa inaahidiwa kuanzisha kama hakuna rushwa?.Hawa wanaotumbuliwa kwanini watumbuliwe kama ni wasafi?.Ukweli rushwa imetudisha nyuma sana na Raisi anakiri kwa kauli yake mwenyewe.Wewe ni nani mpaka unajifanya kutetea rushwa ?.Inabidi na wewe ufikishwe Takukuru kwa uchunguzi .Wapumbavu wanaita nchi yetu corrupt Tanzania.
Mbwa wote hao
Wala walio vijijini hawana shida Na hiyo misaada , shida yao kubwa ni kupata mahali pa kulima Na kufuga ngombe waoutashangaa baadhi ya watakaokuja ku comment hapa, watakuambia tupo tayari kula nyasi kuliko kutegemea misaada ya masharti inayotudhalilisha
ila anayeongea hivyo hajui hata maana ya kula nyasi ni nini, kashikilia tu smartphone yake ana type na ku post
wanaoteseka ambao wataathiriwa na hiyo misaada hawajui hata kinachoendelea, hawana tv wala internet, halafu mtu uliyepo mjini unajifanya kuwasemea kwa sababu za kishabiki
let me school you....HAO MATAIFA YA MAGHARIBI WAMEONA NCHI YETU INA MIKAKATI YA KUENDELEA NA KUJIKWAMUA KWA KUKATA MIRIJA YAO ETI WANAJIDAI KUTUPIGA MKWARA, SISI TUSITETEMEKE SANA HASA TUJIKITE KATIKA KUBAINI ZAIDI ECONOMIC LEAKAGES TUZIBE TUTATOKA TU JAPO KWA SHIDA, TUKILEGEA WATAANZA NA KUTULETEA MASHARTI MAZITO SANA WAKIJUA SISI NI WAOGA, TANZANIA NIA NCHI HURU NA INAAMUA MAMBO YAKE KWA MASLAHI YAKE SIO KWA MASLAHI YA WENGINE.
haya maneno bado kidogo akili zitafyatuka.Nchi hii Ni Tajiri ila watu wake wengi ni Masikini. Na wachache ni Matajiri wa kutupwa! Tujipange tupambane na mafisadi na wala rushwa ni wengi sana ktk nchi hii.na wapo ktk kila sekta.
wana shida ya kupata maji safi, umeme, barabara, zahanati vitu ambavyo vinafanywa na hiyo misaada,Wala walio vijijini hawana shida Na hiyo misaada , shida yao kubwa ni kupata mahali pa kulima Na kufuga ngombe wao
Hili sakata halichagui wa mjini au vijijini kwani kila kitu kitapanda bei kufidia pengo la kuendesha serekali na wizara zake.Wala walio vijijini hawana shida Na hiyo misaada , shida yao kubwa ni kupata mahali pa kulima Na kufuga ngombe wao