Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 96
- 70
BAADHI YA VIONGOZI WASHIRIKINA WENYE MACHO YA KICHAWI NDIYO VYANZO VYA UDUMAVU WA UTAWALA BORA NCHINI .
Nakumbuka Tarehe 02/01/2025
Askofu Mkuu
Jimbo katoliki la Dar es salaam
Baba Mhashamu Thadeus Ruwa'ichi
Alisema
Ni lazima tuelewe ( Yesu aliposema) kukaa katika nyumba ya Baba ni kitu gani !?!
Kukaa katika nyumba ya Baba ni kusimama katika maandiko Matakatifu ( ya Mungu)
Ni kusimama katika Ukweli
Ni kusimama katika Haki .
Ni kusimama katika upendo
Ni kusimama katika huruma
Ni kusimama katika kila ( Jambo) linalompendeza Mungu
Tukifanya hayo , hata sisi tutakuwa tumejikita na kusimama katika nyumba ya Baba yetu.
Mwisho wa kunukuu
Shetani tumeharamishwa naye
Hatupaswi kuwa na Matendo yanayotukuza ufalme wa Giza
Kula Viapo na Kisha kuishi kwa kutegemea Uongo ndiyo uwe nembo yetu ni kumkufuru Mwenyezi Mungu
Watu Washirikina na Wachawi huishi wakichanganyika na watu wema
Wajinga
Na wenye akili huku wakitumia Uongo kudhulmu walio wengi wasiojielewa huku wakijifanya ni Wafuasi wa Mitume ya Mwenyezi Mungu huku Matendo Yao yakiwa ni ya kishetani.
Shekhe Mohammad Al Hatimy
Shekhe wa Mombasa Kenya
Akitoa Mawaidha Tarehe 03/11/2022
Alisema
Kumpenda Mtume ( Mohammad SAW) ni lazima
Sio khiari
Ni lazima umpende Mtume Mohammad
Huwezi kumfuata Mtume kwanza ni ( lazima) yatangulie Mapenzi .
Mapenzi yanapoingia katika moyo wako automatically utamfuata Mtume Mohammad
Mtume ni habibi Kisha Mtume ni Mahabubu
Mtume ni Mahabubu
wa hayawani na Wanaadamu , wa majini
Mtume ni Mahabubu
Mwisho wa kunukuu
Viongozi wanaotudhulmu wanazijuwa sifa hizi !?!?
Waliokula Viapo na Kisha kuishi kwa chuki na Vitisho wanayajuwa haya !?!?
Ni Wachawi pekee na washirikina ndiyo wanajizima data kwa vile wameamuwa kuishi maisha ya kinafiki.
Wachawi hao ili kuwaaminisha wanyonge wanafuata hatua kadhaa kujipatia vyeo na kuchanganyika na watu wema.
Viongozi hao Baadhi wakisha kukaa kwenye vyeo hufanya kazi ya Shetani wakijificha kwenye nembo ya Unafiki wa kujitamkisha neno Mwenyezi Mungu .
Rev Dkt Eliona Kimaro
Usharika wa KKKT Kijitonyama
Nakumbuka Tarehe 24/10/2024
Alisema
Kuna Mtu Mwingine Ambaye anaishi kwenye position...
Anaishi kwenye kiti
( Lakini ) Hana contribution Yeyote ( kwenye Jamii )
Kiumbe mzito tuu
Lakini anaishi kwenye kiti kwa sababu yupo kwenye position.
Only that
Na Hakuna kitu ambacho kinazaliwa
Mwisho wa kunukuu
Askofu Mkuu
Dkt Josephat Mathias Gwajima
Nakumbuka Tarehe 10/12/2021
Alisema
Mimi nawaza ningekuwa ( hapo awali) nilipata Mafundisho ( Kama ) haya Mara tu baada ya kuokoka nikabeba Kama ( vile) unavyobeba Wewe hivi ningekuwa mbali saana
Mwisho wa kunukuu
Viongozi Washirikina na Wachawi
Huishi kwa chuki wakiwachukia watu wote wenye kupigania Haki na usawa
Hupenda Machawa yenye Elimu na yasiyo na Elimu yaliyojaa uelewa Mdogo wa mambo ya ujenzi wa kinchi.
Viongozi Washirikina Baadhi hutumia muda wao Mwingi kuwawinda watu wenye makarama ya kuisaidia nchi na Kisha hutumia michawa hiyena hiyena kuwavunja mioyo wabeba maono ili wakate tamaa wasifanye kazi ya Mungu wa kusaidia jitihada za kuwainua wanyonge na kuwatoa kwenye mitego ya kutumiwa kutajirisha wachache huku wanyonge hao wakiishia kufa wakiwa Mafukara wao na wapendwa wao.
Mfano tu
Kila Kiongozi Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu huishi akichunga kiapo alichoapa Cha kutenda Haki na usawa kwa kadri ya maandiko ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ilani katiba ya CCM, kanuni Miongozo na Taratibu alizokubaliana na Wenzake kuto kuziendea Kinyume.
Ukiona kiongozi anaapa
Kisha hatii hata kauli za Viongozi wetu Wakuu wa Kitaifa ujuwe Kiongozi huyo ni Kati ya wale Viongozi Washirikina na Wachawi wenye mapepo ya kuiona kesho ya watu wengine na hivyo kupambana na kesho hiyo ili iwe mbaya .
Hao ndiyo Viongozi wenye macho ya kushirikiana na kichawi.
Ili kuwashinda Viongozi Washirikina na Wachawi tunapaswa kujipa muda kuamsha Vipawa vyote vilivyo ndani yetu Kisha kuamua kusoma
Qur aan
Sunnah za Mtume SAW
Biblia
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Sheria ya Vyama vya Siasa
Katiba ya CCM
Kanuni Miongozo na Taratibu
Kisha tiziishi ibara 08(1) a, b c d ibara 26(1)(2) ibara 29(1)(2) na ibara 09 a,b,f, na h huku tukizingatia ilani ya CCM 2020 ibara 04 uk 01 uk 161-168 uk 08 ibara 10 na 11
Mheshimiwa Othman Masoud Othman
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar
Nakumbuka Tarehe 27/12/2024
Alisema
Huu utaratibu umo ndani ya sheria ( ni) Wajibu wetu tuusimamie ili kujenga misingi ya Haki.
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Dkt Hussein Mwinyi
Rais wa Zanzibar
Katika hafla za sherehe za Mapinduzi huko Chake chake Pemba
Nakumbuka Tarehe 12/01/2025
Alisema
Napenda kutoa Shukrani kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Othman Masoud Othman kwa ushirikiano anaonipa.
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Wakili Msomi
Peter Madeleka
Nakumbuka Tarehe 13/06/2023
Alisema
Suala la kuvunja katiba ni suala ambalo halipaswi kuonewa aibu Wala kuonewa haya
Linapaswa lizungumzwe kwa uwazi kabisa.
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdullah
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar
Nakumbuka Tarehe 02/01/2025
Alisema
Utawala ule ( wa kikoloni) ulikuwa ni utawala ambao umekaa kwa Maslahi ya watu wachache saana .
Na hatutoruhusu mkoloni arudi Tena hapa kwa namna moja ama nyingine .
Kwa hiyo Kama Kuna watu ( wapo na ) wana Nia ( mbaya na ovu) kwamba nchi hii itatawaliwa kwa utaratibu huo ( wa kikoloni) Hilo hapa halitatokea..
Nchi hii itaendelea kuongozwa kwa misingi ya katiba ya mwaka 1984
( Kwa misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 uk 127 ibara 152 yote uk 14 ibara 01. 02 uk 13 paragraph ya kwanza ya katiba)
Lakini( pia ) kwa misingi ya Sheria kanuni na Miongozo Kama( vile ) ambavyo inaendelea
Mwisho wa kunukuu
Ifikie Mahali Watanzania tujiamini
Viongozi walioamua kujipa utukufu Kinyume na Viapo vyao tutumie ibara 26(2) ya katiba na ibara 09 a,b tuchukuwe hatua za Kisheria huku tukizingatia ibara 08(1) a,b, c d .
Tusiwachekee wanaovunja Mifumo kujinufaisha wao huku wakilindana katika maovu na kuonea Wanyonge wasio na Watetezi
Tuanze kuchukuwa hatua
Viongozi wanaowalinda wavunjifu wa sheria nao tuwaadabishe.
Mheshimiwa Othman Masoud Othman
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar
Nakumbuka Tarehe 27/12/2024
Alisema
Huu ni utaratibu wa Kisheria na Wewe unahusika kwa asilimia 100 kuusimamia
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Paul Christian Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Nakumbuka Tarehe 06/01/2025
Alisema
Mimi napiga spana mtu Yeyote yule ilimradi Mambo yaende.
Mwisho wa kunukuu
Shekhe Muharram Rashid Mziwanda
Katika uwepo wa Mawaziri na Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Nakumbuka Tarehe 16/12/2024
Alisema
( Viongozi Hawa ) nafasi ( za Uongozi wao) walizo nazo kawapa Allah
( Wakikosea) tusipo waambia tukawa( tu) na mfumo mbaya (wa kusifiana tuu) kila wanachofanya *tunawasifia ( tujuwe) tunawaharibu .
Na wakikosea tuwaambie
Sio tunasifia tuu kwa sababu tunapewa kumi kumi
( Kusifu sifu hovyo)
Sio uungwana
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
Mheshimiwa Rais Mstaafu Awamu ya nne
Akiongea katika Uwepo wa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar
Nakumbuka Tarehe 06/01/2025
Alisema
Mwenye macho haambiwi Tazama
Na Mwenye masikio haambiwi sikia.
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Rais
Dkt Samia Suluhu Hassan
Akiwa katika hafla ya ufunguzi wa hotel
Nakumbuka Tarehe 07/01/2025
Alisema
Nilisema ( siku moja pale) nilipofungua kizimkazi it seems impossible until it is done
Kila kitu kinaonekana hakiwezekani mpaka kifanyike.
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Hassan Omar Amir Bomboko
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Akifanya mahojiano na Star TV
Nakumbuka Tarehe 20/07/2024
Alisema
Mheshimiwa Rais amekuwa akioigia kelele saana suala la Viongozi ambao ni Wawakilishi wake
Na Wasaidizi wake
Kufuata Uongozi uliojikita katika Misingi ya utawala Bora kwa kuzingatia katiba na sheria za nchi.
Mwisho wa kunukuu
Askofu Mkuu
Dkt Josephat Mathias Gwajima
Wa Kanisa la Ufufuo na Uzima
Akitoa mahubiri Tarehe 10/10/2021
Alisema
( Ukiwa kwenye mapambano ya kusaka Haki na usawa)
Usiangalie umri wako
Usiangalie umbo lako
( Wewe angalia yule) aliye ndani yako .
Ni Mkubwa kuliko aliye katika Ulimwengu.
Mimi nasema kilicho ndani yangu kinaweza kumkabili ( mtu) Yeyote
Awe ana pembe nane
Ana pembe sita
Ana macho arobaini
Ana vidole themanini.
Kilicho ndani yangu...
Kilicho ndani yangu kinaweza kumkabili Yeyote yule
Wakati wowote
Saa Yeyote ile
Na kilicho ndani yako kinaweza kumkabili Yeyote
Amka muda unakwenda ukimbie kwa Kasi kuelekea kwenye hatma yako.
Beba ulichoagizwa na Bwana .
Beba uende kwa Jina la Yesu (kristo)
Mwisho wa kunukuu
Tumekabidhiwa Maandiko Matakatifu ya Mwenyezi Mungu, ilani katiba kanuni Miongozo na Taratibu za kimfumo
Tusimame tuzipiganie bila woga.
Rev Dr Eliona Kimaro
Wa Usharika wa KKKT Kijitonyama
Akitoa mahubiri Tarehe 24/1/2024
Alisema
Na Mimi nakuomba saana Tafadhali anza kuishi kesho
Tafadhali
Please
Mwisho wa kunukuu
Askofu Mkuu
Dkt Josephat Mathias Gwajima
Wa Kanisa la Ufufuo na Uzima
Na Mbunge wa kawe
Akitoa mahubiri Tarehe 10/10/2021
Alisema
Ebu sema
Kwa jina la Yesu ,
Jicho la kichawi linalonitazama na kuitafsiri kesho yangu nalitia upofu kwa jina la Yesu
Kwa jina la Yesu
Macho ya kichawi
Masikio ya kichawi
Kinywa Cha kichawi kinacho nitazama na kuitafsiri kesho yangu natia upofu kwa Jina la Yesu.
Mwisho wa kunukuu.
Nikashtuka katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikiwa kimya kabisa
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mathias Mugerwa kahinga
🙏🏿🙏🏿💪🏿💪🏿⛏️⛏️