kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,782
- 22,100
Baada ya jeshi la polisi kupiga marufuku mikusanyiko yote ya kisiasa mpaka hali ya kiusalama itakapokaa sawa,hakuna tatizo hapo naona si lazima kukwea kwenye majukwaa kutia hasara kupoteza muda,kusababisha wananchi wasifanye kazi maisha yenyewe magumu,sasa itumike ile mbinu ya mwaka jana katika kampeni ilipoamualiwa ilani ikasomwe kwenye mtandao na hotuba nazo zitupiwe tu kwenye mtandao kama ile ilani ya uchaguzi ,ili tuondoe ugomvi na jeshi la polisi.

Kwani nchi kwa sasa si salama? Kwani kuna tishio lolote la ugaidi ama kuvamiwa ama kupinduliwa?
Hii ni technic ya kizamani mno ndugu yangu
Wewe si umejielewa baada kueleweshwa na wanasiasa au?hujielewi, hio ni haki ya kikatiba sio ya polisi
Mkuu tukumbuke nchi hii iliendeshwa na wanasiasa muda mrefu,na ndio walioiharibu.Kwani nchi kwa sasa si salama? Kwani kuna tishio lolote la ugaidi ama kuvamiwa ama kupinduliwa?
Hii ni technic ya kizamani mno ndugu yangu
Hakuna kitu ,tego walilolitega wakati wapo kule ndio linawanasa wakati wapo huku!Hali hii iko kwa upinzani tu??CCM mbona mikutano yao ipo kila siku??Kuna kitu gani kimejificha hapo??
Hakuna kitu ,tego walilolitega wakati wapo kule ndio linawanasa wakati wapo huku!
Sijakuelewa,maana mikutano ya CCM inaendelea huko mikoani kwanini ya Upinzani ikataliwe??
Ajabu Kweli Wakati Upande wa Pili Ukiwa Huru Kufanya Mikutano Kwa Mgongo wa Mbio za Mwenge,Rais "Kusimamishwa" Njiani na PM Kuhutubia Nyumbani ili Kuwashukuru...Uku Upande wa Kwanza Imekuwa Nongwa!
Ukweli ni Kwamba CCM Hawataki Upinzani Wapande Majukwani Kwa Sababu Moja Tu:Kumlinda "mungu wao" Asije Vunjwa Vunjwa na "Magidioni" wa Upinzani!
Enyi CCM Kama "mungu" wenu ana uwezo mwacheni ajilinde,apambane na ajitukuze!
Yanini Nyie "binadamu" mmulinde mungu wenu?
Ni kama wakati walipomuua A Mawazo haki hizi zitafutwe kisheria kabla hawajailemaza taifa na intelinjensia uchwara
ok dah uko sawa,ulisharudisha mkopo wa chuosiwezi kuwa kundi la Jesca
Form four nimefaulu kwa Div 1 Point 8
Form Six kwa division 1 point 4
Bachelor kwa upper second class G.P.A ya 4.0
Masters nimefaulu kwa flying colors
Kwa mtu kama wewe lazima uwe Jesca