Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 16,658
- 21,859
Vuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao.
Hata hivyo kelele zitokanazo na upulizaji wa vuvuzela zilishindwa kuvumilika na kusababisha zipigwe marufuku sehemu mbalimbali za dunia. FIFA ilipiga marufuku upulizaji wa vuvuzela kwenye mashindano ya world cup mwaka 2014 huko Brazili, na mpaka leo vuvuzela haziruhisiwi katika mashindano ya mpira sehemu nyingiu sana duniani.
Nimekuwa naziona vuvuzela zikitumiwa na mashabiki kwenye mashindano mpira Tanzania, kwa nini vuvuzela hazijapigwa marufuku Tanzania?