Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
724
1,877
Hizo fujo zimeratibiwa na Simba ili mechi iahirishwe maana wachezaji ndio wametoka break hawako fiti. TFF msiingie mtegoni.
 
Wangevujnjwa hata miguu wachezaji wasimba pamba naomba mnivunjie miguu hao wachezaji uchwara wamewataka wenyewe kenge hao
 
Inasemekana meneja wa Simba pamoja na Matola wamekamatwa na polisi.

Binafsi siungi mkono viongozi wa serikali kuingilia mpira kwa kuwa tu wao ni mashabiki wa timu fulani.

Kitendo alichofanya mkuu wa mkoa wa Mwanza kinaonesha kuna viongozi wanaanza kuota masharubu.Mama wanamdharau sana.Huwezi kuvamia mazoezi ya timu huku ukijua wewe ni shabiki wa timu pinzani halafu watu wakuchekee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…