Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Mar 24, 2016
817
590
Habari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- :

* Mafuta ni masafi

* Hayana harufu,

* Sio ya kuchemsha na

* Si machungu

* Muonekano wake unaita.

Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580.

NOTE: Wahi mapema, navunja bei kwa mtu atakayenunua dumu 20+ kwa bei ya Tzs 21,500/ tu.
 
Back
Top Bottom