Vodacom Tz walikuwa na kawaida ya kurekodi calls zetu kwa sasa hasa miezi ya karibuni wameacha sijui wamepatwa na nini?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
6,250
13,163
Shalom,

Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani

Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na +255.... , kila unicheki call forwarding kwa voda hio namba ilikuwa inatokea.

Sijajua dhamira ya Vodacom kwenye utaratibu ule ilikuwa nini.

Tusiyape sana Imani haya makampuni ya simu kuna baadhi ya wafanyakazi ni vibaka, masnitch na vibaraka wa baadhi ya watu.

Sijui kesi ya msingi ya ndugu kabendeflag iko kwenye huduma ipi ila tuwe makini.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Back
Top Bottom