MIe kama mteja wa muda mrefu wa Voda nimepata na ukakasi kidogo, ni hivi hawa jamaa mara nyingine unakuta deni limelipwa wao hawajakata, wanaendelea kulitambua deni na muda unafika wanakupiga fine.
Ukiwa unafuatilia utalijua hilo na bado watachukua muda mrefu kurekebisha bila ya kukurudishia fidia za usumbufu na makato. Je, kwa wake ambao sio wafuatiliaji ni kinatokea?