Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 7,839
- 17,022
Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja.
Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna access ya kuzungumza na binadamu ambaye nitaweza muelezea shida yangu direct.
Sina unakika kama hii ni standard ya kiutendaji ambayo hata TCRA wanaweza kubaliana nayo na nadhani kama mteja ninayo haki ya kulalamikia hili ili lifanyiwe kazi.
Ni jambo la ajabu sana kwa kampuni kubwa na ya muda mrefu kama Vodacom kutokuwa na dawati la huduma kwa mteja ambalo wateja wanawez kuzungumza na binadamu direct na sio sauti za kurekodi ambazo wametegeshea kujibu wateja wanapopiga namba 100 kutaka msaada wa kina.
Nasisitiza Vodacom kwa hili ni kutukosea wateja na lifanyiwe marekebisho haraka sana. Kuwe na dial namba ya kuongea na binadamu na sio kusikilizia recorded voice.
I hope TCRA wataliona hili na kupeleka taarifa na onyo kwa kampuni ya Vodacom.
Vodacom Tanzania