Vodacom Arusha inasumbua internet

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,149
Jamani vodacom Arusha is a terribly Slow jamani niko hapa maeneo ya Naura siwezi hata ku download updates... What is this, and it has been like the whole week!! TCRA mna uhakika kile wanacho tutangazia hawa watu nicho wanachotupa??
 
Mkuu kutoka Naura hadi vodashop ni dkk 7 kwa kutembea si ukachukue 4G sim card?
 
Sio Kweli. Upo Arusha kweli? maana yake Jamii forums kuna watu wa kila aina ikiwemo na aina yako.
 
mkuu hata manyara pia inasumbua. Voda internet. Voda unaweka kifurushi mwisho wa siku badala ya 3G inakuja E. Inauma Sana.
kifurushi kinaisha hujatumia internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…