Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,603
- 2,655
Wakuu iko hivi kuna siku rafiki yangu aliitumia simu yangu kunielekeza mchezo wa tusua spoti unaochezeshwa na Vodacom, na wakati wa kufanya hivyo tiketi moja yenye mechi 14 ilikamilika na tulikata bila kulipia. Baada ya wiki moja niliweka vocha ya 1000 na walikata 500 nikapewa ujumbe kuwa nimelipia ile tiketi.
Ilikuwa jana zikiwa wiki zaidi ya 2 toka wakate ile 500, nimeweka vocha ya 2000 ili niunge bando la 2000 lakini cha kushangaza sikufanikiwa, kuja angalia salio nilikuta ipo 1500. Hivyo nikaunga bando la 1000 ikabaki 500.
Leo nimeweka vocha ya 500 ili itimie 1000 ukijumlisha na ile niliyoiacha jana, same old shit sikufanikiwa tena kuunga bando la 1000 na baada ya kuangalia salio nakuta ipo 500.
NB: sijawahi kupewa ujumbe wakati wa makato ya jana na leo mpaka nilipowasiliana na huduma kwa wateja kwa njia ya email. Majibu yao yalikuwa haya.