Ochoa Real Estate
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 46
VIWANJA VINAUZWA GOBA KANTINA (MAKONGO ROAD)
☎️ +255 699 255 530
KARIBU SANA
#viwanjaGoba
- Viwanja vipo mita 30 tuu kutoka barabara ya Lami ya Makongo.
- Viwanja vipo tambarare kabisa.
- Dakika 2 tuu kutoka site mpaka Goba Centre.
- Dakika 15 tu kutoka site mpaka Mlimani City.
- Viwanja vimezungukwa na nyumba za kisasa kabisa.
- Wale wasio penda kukaa mbali na barabara ya lami hivi vinawahusu.
- Viwanja vingi SQM 1000.
☎️ +255 699 255 530
KARIBU SANA
#viwanjaGoba