Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

kaka_mkubwa

Member
Apr 6, 2012
37
59
Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro.
Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga.
Viwanja vipo Block X
Namba 151 - 2178 SQM
Namba 152 - 1406 SQM
Namba 153 - 2609 SQM.
Eneo limepimwa na kiwanja 151 na 152 hati zake zipo tayari. Bado 153.

Bei kwa vyote ni Tsh 40,000,000 (kwa wastani wa Tsh 6,500 kwa SQM)
Maongezi yapo kwa kiasi chake.
Pia kama mtu atataka kulipa kwa installments, tunaweza kuweka utaratibu.
Unaweza kuni PM au WhatsApp +4550394260
Asante.
Madalali pia mnakaribishwa.
16859625218817340611196635023725.jpg
 
Madalali pia mnakaribishwa.View attachment 2646804
Kwa Morogoro bado pesa ndefu, Kibaha hapa unapata nusu ya hiyo bei wakati Kibaha ni Dar
 
Asante kwa maoni
Nafikiri nimeweka sawa, bei inazungumzika.
Labda kama kuna kikwazo kingine, nipo tayari kushaurika.
Asante
 
Asante kwa maoni
Nafikiri nimeweka sawa, bei inazungumzika.
Labda kama kuna kikwazo kingine, nipo tayari kushaurika.
Asante
Kwa nini usiweke pia bei ya kiwanja kimoja kimoja! Kwani lazima mteja anunue viwanja vyote vitatu kwa mkupuo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom