VIWANJA VINAUZWA BEI POA

Genchi

Member
Aug 19, 2014
94
45
JIPATIE KIWANJA KWA BEI YA OFFER na UTAKAYOIWEZA

Ni kilwa road mwandege dsm,
Nyuma ya kiwanda cha bakhresa,
Ni mji mpya unaokuwa kwa kasi kubwa, panaitwa CHATEMBO.
Ukubwa ft 50×40,
Bei ni mil 2.5,
Maelewano yapo,
Wahi vimebaki vichache,
Pia kuna 50×50 bei ni mil 1.5
Usafiri upo wa kutosha kutoka mbagala, maji na umeme upo.
Kwa maelezo na maswali
0683/ 0714> 77 55 66
Wote mnakaribishwa
 
1~50×40=2.5M(ft)
NA
2~50×50=1.5M
Naomba kuuliza,
kati ya cha kwanza na cha pili kipi kikubwa?
Au cha (2) kipo katika vipimo vipi? naona kama kuna mkanganyiko au mimi ndo sielewi.
 
1~50×40=2.5M(ft)
NA
2~50×50=1.5M
Naomba kuuliza,
kati ya cha kwanza na cha pili kipi kikubwa?
Au cha (2) kipo katika vipimo vipi? naona kama kuna mkanganyiko au mimi ndo sielewi.
Huyo ni dalali, hapo wenye Viwanja ndo kila mmoja ameweka bei yake, ni soko huria usishtuke sana.
 
Mmmmh napata ukakasi kidogo. Vipi vimepimwa na manispaa au kisela tu? Maana hamkawii kuuza maeneo ya huduma za jamiiiii
 
1~50×40=2.5M(ft)
NA
2~50×50=1.5M
Naomba kuuliza,
kati ya cha kwanza na cha pili kipi kikubwa?
Au cha (2) kipo katika vipimo vipi? naona kama kuna mkanganyiko au mimi ndo sielewi.
50×40 ni kipo high quality, kimechongewa na barabara, na pia kipo tambalale,
Wakati hicho kingine kimeinama
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…