Isyesye iko just nyuma ya NaneNane John Mwakangale grounds ni usawa wa lile daraja la treni palipoandikwa 'Karibu Mbeya' unaweza kuingilia pale au ukaingilia hapa JKT palepale mkabala na shamba la kilimo Uyole...kiashiria maarufu huko isyesye ni Redio Ushindi ikiwa unataka kufika kirahisi....kuna makazi ya kitasha sana neighbourhood za kijanja hasa Isyesye bondeni. Karibu IsyesyeIsyesye iko wapi?
Okay nimekupata mkuu, nilichanganya nikafikiri ipo iwambiIsyesye iko just nyuma ya NaneNane John Mwakangale grounds ni usawa wa lile daraja la treni palipoandikwa 'Karibu Mbeya' unaweza kuingilia pale au ukaingilia hapa JKT palepale mkabala na shamba la kilimo Uyole...kiashiria maarufu huko isyesye ni Redio Ushindi ikiwa unataka kufika kirahisi....kuna makazi ya kitasha sana neighbourhood za kijanja hasa Isyesye bondeni. Karibu Isyesye
Shukran mkuu kwa maelezoIsyesye iko just nyuma ya NaneNane John Mwakangale grounds ni usawa wa lile daraja la treni palipoandikwa 'Karibu Mbeya' unaweza kuingilia pale au ukaingilia hapa JKT palepale mkabala na shamba la kilimo Uyole...kiashiria maarufu huko isyesye ni Redio Ushindi ikiwa unataka kufika kirahisi....kuna makazi ya kitasha sana neighbourhood za kijanja hasa Isyesye bondeni. Karibu Isyesye
Isyesye iko just nyuma ya NaneNane John Mwakangale grounds ni usawa wa lile daraja la treni palipoandikwa 'Karibu Mbeya' unaweza kuingilia pale au ukaingilia hapa JKT palepale mkabala na shamba la kilimo Uyole...kiashiria maarufu huko isyesye ni Redio Ushindi ikiwa unataka kufika kirahisi....kuna makazi ya kitasha sana neighbourhood za kijanja hasa Isyesye bondeni. Karibu Isyesye
Mkuu, naomba uzoefu wake.... nimesoma sehemu wanasema Isyesye ni "Wet land" areas. Kwamba Ardhi yake inajaa maji sana kipindi cha masika.Isyesye iko just nyuma ya NaneNane John Mwakangale grounds ni usawa wa lile daraja la treni palipoandikwa 'Karibu Mbeya' unaweza kuingilia pale au ukaingilia hapa JKT palepale mkabala na shamba la kilimo Uyole...kiashiria maarufu huko isyesye ni Redio Ushindi ikiwa unataka kufika kirahisi....kuna makazi ya kitasha sana neighbourhood za kijanja hasa Isyesye bondeni. Karibu Isyesye
Kwa viwanja vya pale bondeni zipo sehemu ambazo kweli ni wet land ila ukiwa kama unapandisha kule mbele hakuna tatizo kabisaMkuu, naomba uzoefu wake.... nimesoma sehemu wanasema Isyesye ni "Wet land" areas. Kwamba Ardhi yake inajaa maji sana kipindi cha masika.
Asante mkuu.Kwa viwanja vya pale bondeni zipo sehemu ambazo kweli ni wet land ila ukiwa kama unapandisha kule mbele hakuna tatizo kabisa
Bosi, Vipi Jamaa wanataka "super profit"? Naomba uzoefu wako kwa maeneo hayoEti 10,000 badala ya 5,000
Isyesye bonden (viwanja vipya) sasa hv wamechonga mitaro mingi sana ndio maana ata matajri wameamua kujenga kule chin na viwanja vimekaa vizur sana kwa mara ya mwisho mwaka jana natoka kule niliacha wanajenga daraja maana mitaro mingi imeelekezwa tayar kwenye mtaro mkuu.Mkuu, naomba uzoefu wake.... nimesoma sehemu wanasema Isyesye ni "Wet land" areas. Kwamba Ardhi yake inajaa maji sana kipindi cha masika.
Nashukuru Mkuu kwa uzoefu wako. Ubarikiwe sanaIsyesye bonden (viwanja vipya) sasa hv wamechonga mitaro mingi sana ndio maana ata matajri wameamua kujenga kule chin na viwanja vimekaa vizur sana kwa mara ya mwisho mwaka jana natoka kule niliacha wanajenga daraja maana mitaro mingi imeelekezwa tayar kwenye mtaro mkuu.
Ingekuwa pabovu wasingejenga vile wala kuuza viwanja ghali ukumbuke kwa mbeya ukitoa Forest, iwambi inafuata isysye kwa kujengwa na kupangwa vizur. Block T nmetoa maana ni ya zaman