R rukondo Senior Member Sep 7, 2012 136 14 Mar 7, 2016 #1 Viwanja vilivyo pimwa kuanzia sqm 600 adi 2500 eneo ni maduka mawili karibu na utumishi housing Kigamboni, Bei maelewano na visivyo pimwa vipo pia Bei maelewa mawasiliano 0787321020
Viwanja vilivyo pimwa kuanzia sqm 600 adi 2500 eneo ni maduka mawili karibu na utumishi housing Kigamboni, Bei maelewano na visivyo pimwa vipo pia Bei maelewa mawasiliano 0787321020
jembelamkono JF-Expert Member Nov 19, 2015 2,733 2,011 Mar 7, 2016 #2 Weka bei ya vilivyopimwa kwa square metre mkuu, Pia huko Maduka mawili ndio wapi,karibu na wapi?