K kilafumbi Member Dec 31, 2015 14 1 Jan 9, 2016 #1 Kuanzia 3-5 Milioni.. Vinapatikana. 4Km kutoka Barabara ya morogor vimepimwa na vingine havijapimwa 600sqM Umeme, maji na barabara vipo. Hakuna udalali 0754/0658- 598946 .
Kuanzia 3-5 Milioni.. Vinapatikana. 4Km kutoka Barabara ya morogor vimepimwa na vingine havijapimwa 600sqM Umeme, maji na barabara vipo. Hakuna udalali 0754/0658- 598946 .
Dupe JF-Expert Member Jan 21, 2013 1,668 811 Jan 9, 2016 #2 Kwaiyo vilivyopimwa na visivyopimwa bei ni sawa? Kwa ekari? Je eneo si la wazi (Open Space)…!!?? Hayako kwenye hifadhi ya barabara? Maana sasahv ukinunua eneo kichwakichwa inakula kwako…!!
Kwaiyo vilivyopimwa na visivyopimwa bei ni sawa? Kwa ekari? Je eneo si la wazi (Open Space)…!!?? Hayako kwenye hifadhi ya barabara? Maana sasahv ukinunua eneo kichwakichwa inakula kwako…!!