Plot4Sale Viwanja Kibaha kwa bei nafuu ya ofa

Kibenje KK

JF-Expert Member
May 28, 2016
267
388
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule.

-Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana.
-Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana.

-Neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi.
-Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.
-Bei ni 6000 kwa square meter moja.
-Kiwanja chenye square meter 400(20m kwa 20m) unapata kwa milion 2.4 tu.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo.

Tuna miradi mingine kama ya Goba, Kigamboni, Bunju, Kibaha na Mbweni

Site visit ni kila siku.

Piga simu 0762815104
WhatsApp Wa.me/255762815104

IMG-20210914-WA0099.jpg
 
Back
Top Bottom