blackhawk
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 262
- 584
Hivi karibuni Dar Es Salaam umeme umekua hauko stable kabisa unajiongeza na kupungua wenyewe. Sasa leo asubuhi mapema najiandaa niende kwenye shuhuli zangu umeme ukaongezeka, gafla nikaskia vitu vina burst sehemu tofauti tofauti ndani kwangu hadi circuit breaker ikajizima. Nika switch off switch zote then nikaiwasha nikaanza kufanya inspection kwa tahadhari.
Taa za chumbani mbili zikazima, taa ya chooni pia hizi ni zile taa za urembo ni gharama kweli. Nikaja seblen cha pchap kuangalia nikakuta kingamuzi cha DStv nacho kimezima, hapa huwa nazima kila kitu na remote tu.
Router pia imezima, hii huwa ipo on natumia internet ya nyumbani muda wote. Kulikua na charger pia ya bluetooth speaker ninayotumia seblen pia inatoa moshi!
TV pekee ndo ilikua safe maana ilikua na ile TV guard imeji trip iko on red. Nikaenda jikoni pia Fridge imezimika (hii sikua na fridge giard ). Microwave pia imezima maana huwa iko standby inaonyesha muda. Kuna air fryer pia inatoa moshi huwa iko connected tu. Ki charger changu cha simu nacho kimekua cha moto balaa, hakicharge dah, yaani kitu kilichobaki kizima ni feni zote na taa zilizokua zimezimwa.
Taa za nje pia mbili zimezima za kawaida, na mbili za urembo zimezima, na adapter ya laptop yangu pia imeungua. Yaani nimeondoka home nikiwa na mawazo sana, ndani ya sekunde moja hawa TANESCO wamenipa hasara sijui ya sh. ngapi?!
Hivi hii nchi kuna kitu kiko proper kweli, kila kitu kina shida yaani hakuna raha wala amani ya maisha?!