Vitu vinauzwa Karatu mjini, deadline two days kuanzia leo

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,458
2,465
Kitanda tano kwa sita..cha mbao...140,000TZS

Godoro inchi 8 comfy.....140,000TZS

Meza ya jiko na kimeza cha TV vyote vimetengezwa kwa mbao....80,000TZS kwa vyote viwili

Kama pia utahitaji vitu vingine kama vyombo vya kupikia, jiko la gas na mtungi wake (manjis), TV inchi 24 (ZEC), njoo tufanye mazungumzo.
Sababu ya kuuza ni kwamba nihama jumla huku...0621046332 (Halotel kwa mawasiliano)....hizo bei hapo juu zinazungumzika kidogo...

Pia vitu kama hivi vinapatikana Bunda Mara, kwa atakayehitaji tuzungumze...nako kuna makazi vitu zitauzwa wiki ijayo...vimetumika miezi 5 tu!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…