Vitu gani vya kuzingatia katika ununuzi wa viwanja?

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,441
Ndugu zangu natumai ni wazima pia poleni na majukumu,

Swali langu ni kua naomba kujuzwa juu ya ununuaji wa viwanja ni vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja.

Nitashukuru nikipata ufafanuzi
 
Kabla ya kutaka kujua vitu gani vya kuzingatia tujuze kwa lengo la hicho kiwanja inachotaka kununua.
Kwasababu sifa za kiwanja hutegemeana na matumizi gani unayokwenda kukitumia.
Samahani lakini mkuu.
 
nataka kiwanja cha kutengeneza children park. kwa kiswahil sehemu ya watoto ya michezo
 
Kabla ya kutaka kujua vitu gani vya kuzingatia tujuze kwa lengo la hicho kiwanja inachotaka kununua.
Kwasababu sifa za kiwanja hutegemeana na matumizi gani unayokwenda kukitumia.
Samahani lakini mkuu.
kiwanja cha kujenga children park mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…