Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Hakika zinaboa sanaHabar za bashite na makonda zinaniboaa balaaaa
Wanaoni bore ni members wenye michango ya mawazo yenye utashi wa ushabiki na mapenzi na si utashi wa akili zao na ufahamu waoKwanzaa habari za asubuhi ndugu zangu yafuatayo ni mambo ambayo yamekuwa yakiniudhi kutoka kwa member wa jf kupitia thread mbalimbali na michango yao.
1.Ku quote uzi mrefu ukacomment kidogo
2.member mmoja kujirudia kila uzi
3. Udini
4.Ukanda
5.Team kiba na diamond mnaboa Sana
6.Ushabiki wa vyama
7.Thread za wanaume wakilialia juu ya mapenzi
8.......nk
Kwa Leo niishie hapo nyingine ongezeeni kama kuna kitu kinakuboa kutoka kwa member wenzetu
kama wewe ulivyochangia nje ya mada hapaKupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika
HeheheHv unaijua jinsia yangu au unatomboka bila kufikiria
Huwa nachukia sana walioweka avatar za Freemason kama weweVichwa Maji
Mtu anakurupuka Kumlaumu Rais wkati Kmbe Hajamuelewa alizungumza Kumaanisha nn
Lipi jema alisha wahi kulizungumza jpm ambalo linahitaji uwezo mkubwa wa akili kulifahamuVichwa Maji
Mtu anakurupuka Kumlaumu Rais wkati Kmbe Hajamuelewa alizungumza Kumaanisha nn
Ujue nilikua nakuheshimu ila naona kumbe mtu mwenyewe hajiheshimu.Sasa umeshasema mwenyewe kuwa unatomboka yanini nijisumbue tena kutaka kujua Jinsia yako wakati imeshajieleza? Usijali Mkuu endelea tu kutomboka hapo ulipo.
Anakudanganya ni kikongo hicho yenye maana ya kuongeaDah_! Gentamycine wewe ni noma.