Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,653
Vitu ambavyo kamwe MWANAUME mwenye akili timamu hawezi kufanya.
1. Kunywa pombe.
2. Kutumia sukari.
3. Kutumia bidhaa zinazotokana na ngano.
4. Kula soseji, uvutaji na kula vyakula vya viwandani.
5. Kuchangisha mahari kupitia makundi ya WhatsApp.
6. Kuvuta kile kijiti cha Kansa a.k.a sigara.
7. Kufanya ngono zembe na ngono zisizo na malengo.
8. Kufanya ngono bila kinga. Dunia imeoza utaliwa na wadudu.
9. Kutumia WhatsApp GB.
10. Kuwa na miito ya nyimbo kwenye simu.
11. Kununua vyakula supermarket.
12. Kuingia jikoni. Labda itokee jiko lishike moto.
13. Kucheza kamari.
14. Kutoa CJs na Kupokea BJs. STD, zitakuhusu.
15. Kuvaa chupi na vipensi vifupi.
16. Kujichua/punyeto.
17. Kumwita mkeo sijui swiry , sweetie, my better half, Hun, the love of my life etc. Muite mkeo kwa majina yake; Nyangige, Rhoda, Mwanahawa, Mariam, Pendo, Bhoke, Manka n.k
18. Ku-date na Mwanamke mlevi.
19. Kulala na mke wa mtu.
20. Kuzaa watoto wawili au mmoja kama vile kifaru. Mwanaume kidume lazima uwe na watoto walahu sita.
21. Kumkumbatia mama mkwe.
22. Kulala ukweni. Walichokupatia ni idhini ya kulala na binti yao na siyo kujamba ndani ya nyumba yao.
23. Utamaduni wa kutojisomea.
24.Utamaduni wa kurudi nyumbani baada ya saa 3 za usiku.
Vitu ambavyo Mwanamke mwenye akili zake timamu kamwe hawezi kufanya;
1. Kunywa pombe.
2. Kujichora tattoo mwilini. Graffiti ni kwa ajili ya daladala za huko Nairobi, Accra na Lagos na si kwa ajili ya kuchora mwilini.
3. Kumwita mwanaume amefulia au masikini. Mwanaume huwa hafulii. Mwanaume daima upambana na uendelea kujitafuta mpaka makamo ya miaka 80.
4. Kununua vyakula supermarket.
5. Kumpikia mumeo vyakula vinavyotokana na ngano.
6. Ku-date zaidi ya mwanaume mmoja kwa wakati mmoja.
7. Kuzaa watoto na baba zaidi ya mmoja.
8. Kulala na watu unaofanya nao kazi iwe ni bosi au mfanyakazi mwenzako.
9. Kulala na watoto wa kiume wenye rika la wanao. Mwanamke anatakiwa ku-date mwanaume anayemzidi umri tu si vinginevyo.
10. Kufanya mapenzi bila kinga. Dunia imeoza.Na soko la mapenzi linanuka.
11. Kutoa BJs au kupokea CJs. STIs na HPV zipo kweli.
12. Kuendekeza au kufikiria kufanya uovu wa kipumbavu wa threesomes.
13. Kuangalia porn.
14. Kutumia dildos.
15. Kumruhusu Mwanaume wako kuchangisha watu mahari kupitia WhatsApp.
16. Kuruhusu mbegu zako za uzazi kurutubishwa na mbegu za mwanaume dhaifu.
17. Kucheza kamari.
18. Ku-date na mume wa mtu.
19. Ku-date na wanaume wanene au wenye addiction na kula.
20. Utamaduni wa kutojisomea.
21. Kuwa mropokaji au mwongeaji kupita maelezo (kama cherehani). Mwanamke ufundwa.
22. Kwenda nyumbani na nguo za ndani chafu au zilizo loa baada ya kukesha huko ulikokuwa usiku mzima. Mwanamke unapaswa kujiheshimu.
23. Kujikwatua na make up kulikopitiliza.
24. Kutumia vifaa vya kisasa vya uzazi wa mpango. Njia bora zaidi ya uzazi wa mpango ubakia kuwa ile ifundishwayo katika dini zetu.
25.Kutumia GB WhatsApp.
26. Kufanya vitendo vyenye ashirio la dharau kwa mumewe iwe ni hadharani au faraghani.
27. Kumruhusu mwanamume wako kupika au kufua.
28. kuvalia G strings and thongs. Mwanamke anapaswa kuheshimu na kuujali uanamke wake.
29. Kuwa na watoto wawili au watatu bila matatizo yeyote yale ya kiafya. Mwanamke mwenye utimamu anapaswa walahu kuwa na watoto sita.Kisingizio cha uchumi si kigezo mjarabu cha kupanga uzazi. Watoto wawili waachie njiwa na mtoto mmoja ni kwa ajili ya kifaru. Hivyo kamwe kama binadamu usishindane na hao wanyama na ndege.
30. Kumwita mumeo husband ,sweetie , swiry, my hubby, bae or Daddy. Muite kwa majina yake; Mburumatare, Sorongai, Nyang'ombe, Magagula, Muochi,n.k
31.Uvutaji wa aina yeyote ile au matumizi ya shisha nakuzalisha moshi mkubwa kama lori lililochoka la mwaka 1910.
32. Ku-date na mwanaume mwanasiasa na kutegemea awe mwaminifu.
33. Kuomba nauli ili ukaonane na mwanaume wako. Kama una nauli, tembea, kimbia au kaa katika jiko la mama yako na ujifunze namna ya kuosha vyombo.
34. Kutumia sidiria (push up bras) kubusti maziwa yaliyolala. Wanaume siku zote uheshimu wanawake wenye kuonyesha hali ya umama (motherhood). Wanawake wenye majeshi yaliyolala uvutia kwa kuwa wameleta uhai duniani. Ni wavulana pekee ndiyo wenye matamanio na chuchu sindano.
35. Kuonesha uchi wako kwa kutembea bila kufuli au kuvalia kanga tupu (going commando) au kuonesha watu sehemu ya juu ya maziwa yako (Exposing your cleavage). Mwanamke ni kujiheshimu. Heshimu uanamke wako.
36. Kula ovyo mitaani.
37. Kuchunguza simu ya mumeo. Hiyo kwa pamoja ni dhambi na uhalifu.
Jamani kwa wale wenye don'ts zingine, kwa kuzingatia jinsia, tamaduni zetu na maswala ya kiafya wasiache kuongezea