Gordon Technology
Member
- Apr 29, 2016
- 38
- 54
SMART LOCK.
Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu).
VITASA hivi havitegemei umeme WA Tanesco. Ndani ya kitasa Kuna battery nne ambazo hufanya KAZI Kwa takribani miezi6 ndipo unabadili battery mpya.
Pia vitasa hivi vina sehem ya kuchaji kwa kutumia USB. Hii hisaidia pale battery zikiisha chaji na hukupata muda wa kubadilisha mpya hivo kwa kuchaji utaweza kutumia Kwa muda kadhaa kwani battery hupata nguvu mpya ya kutumika kwa kipindi Fulani.
Vitasa hivi vinatumika ktk milango aina Zote ya mbao,alminium au chuma....
Vinatumika ktk nyumba binafsi,hotelini,maofisinibank nk...
Kwa mahitaji ya VITASA hivi usisite kuwasiliana nasi GORDON TECHNOLOGY INVESTMENT.
Tunapatikana Mwanza na Dar es salaam bila kusahau mkoa wowote ulipo tunafika kukupa huduma hii.
Call/text/Whatsapp 0746373222.
Instagram page: gordon_technology