Habarini wana jamvi..
kumekuwepo kwa habari na visa vingi vya kusisimua juu ya namna gani vitu mbalimbali vya kisayansi viliundwa na mpaka vikaanza kufanya kazi..
kwa mfano simu, umeme, ndege, thermometer, balbu, etc
karibuni wanasayansi tushee visa hivi vinavtofundisha na kutia moyo katika safari ya ubunifu wa kisayansi..
kwa kuanzia nitaanza na kisa cha mvumbuzi wa umeme kwa ufupi..
jamaa alipopata idea ya umeme aliitisha vikao vya demonstration zaid ya mara 17 na pia alifeli mara zote izo umeme haukuwaka na alitukanwa sana..
siku ulipokuja kuwaka watu walikua washamchoka so uliwaka akiwa na watu wawili tu ambao ni wasaidizi wake..
KARIBUNI