Viporo kama vyote, Kama mkitoboa bila kudondosha alama basi walau nitawaheshimu na kuwaona mpo serious

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,239
4,477
27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀)
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀)

Na bado mnaitaka Derby?

IMG_20230605_165938.jpg
 
Mara hii uto mmesahau namna mechi zilivyokuwa zinaahirishwa kipindi mko kimataifa, ninyi chezeni mechi zenu shindeni zote mechi za simba achaneni nazo haziwahusu, derby lazima itachezwa tu hakuna kupewa points tatu za bure
 
Timu Ina viporo vingi hatari, huko ulaya Barcelona na Madrid wanalalamika mda mchache wa kupumzika maana unakuta unakipiga UEFA jumatano, ijumamosi Laliga, Jumanne UEFA, ila hapa kwetu unapewa mda mrefu wa ku relax
Kwa kuwa wanalalamika ina maana siyo utaratibu mzuri unaofaa. Uto na Simba wote wamekuwa ni wanufaika wa mechi zao za ligi kuahirishwa kipindi wakiwa na mechi za CAF. Mpira wetu kivyetuvyetu.
 
27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀)
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀)

Na bado mnaitaka Derby?
Tukiamua hatutaki kucheza mwezi wote wa May ni simu moja tu
 
Timu Ina viporo vingi hatari, huko ulaya Barcelona na Madrid wanalalamika mda mchache wa kupumzika maana unakuta unakipiga UEFA jumatano, ijumamosi Laliga, Jumanne UEFA, ila hapa kwetu unapewa mda mrefu wa ku relax
Hapa ni Tanzania sio huko Ulaya kwenu. Hapa timu ikifanya vizuri kimataifa , anashukuriwa mama.
 
Back
Top Bottom