elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Wangu miez mitano nimekanyaga hospital dawa hazimsaidii vimehamia na kwang nawashwa balaaHabari, Tatizo la vipele shingoni na mgongoni kwa mtoto wa miezi sita, linasababishwa na nini maana linaongezeka na kumuwasha kwa kasi, msaada kwa anayejua tiba yake, asante
Inawezekana ni allergies, mafuta mnayotumia au material ya nguo wanazovaa poleni
Vaseline ya mgando hayafai, labda ya majiWatoto wachanga wanashauriwa uwavishe nguo zenye material za cotton na sio vinginevyo. Na unapo fua hizo nguo usitumie sabuni kali. Na kama utatumia sabuni kali, basi nguo zisuuzwe vizuri na maji mengi kuondoa sabuni.
Hakikisha pia unabadili nguo za mtoto mara kwa mara hasa anapotoka jasho.
Lakini pia kama Evelyn Salt alivyosema wazazi wengi huwa wana complicate kuhusu mafuta ya kupaka. Mtoto mdogo hahitaji mafuta yanayonukia na yaliyo jaa vikorombwezo kibao. Mara nyingi mafuta ya vaseline petroleum jelly yanatosha sana kwa mtoto.
Pia jaribu kuangalia maji anayotumia mwanao kuoga. Kama ni ya chumvi sana basi badili awe anaoga ambayo sio ya chumvi ili uone kama kuna mabadiliko.
Lakini pia chakula unachompa. Inawezekana kuna vyakula vinampa allergy. Labda kwenye uji unaweka mayai, au siagi.
Wewe kama mzazi inatakiwa angalau ujitahidi kujua nini kinampa tatizo ili hata ukienda kwa daktari unapomwelezea anapata mwanga.
Vaseline ya mgando hayafai, labda ya maji
Kuna Zincast cream haya mafuta mazuri sana, mi nlimjaribu hiyo vaseline ngozi iliharibika vibaya mnoKila mtoto huja na ngozi yake. Vaseline petroleum jelly ya baby ambayo ni tripple purified is the best.
Kila mzazi anatakiwa ajaribu na kujua ni mafuta gani mazuri kwa mwanae na hasa ukizingatia hali ya hewa. Kila mtoto yupo tofauti na mafuta anayo paka huyu mtoto sio anayoweza kupaka yule mtoto.
Kuna Zincast cream haya mafuta mazuri sana, mi nlimjaribu hiyo vaseline ngozi iliharibika vibaya mno
Habari ndugu, vipi suluhisho la hili tatizo lilikuwa ni nini? Mana nna shida kama hii kwa mtoto wangu. AsanteHabari, Tatizo la vipele shingoni na mgongoni kwa mtoto wa miezi sita, linasababishwa na nini maana linaongezeka na kumuwasha kwa kasi, msaada kwa anayejua tiba yake, asante
Habari ndugu, vipi suluhisho la hili tatizo lilikuwa ni nini? Mana nna shida kama hii kwa mtoto wangu. Asante