Vipele usoni...

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Jamani ...mi huwa natoka vipele mara kwa mara usoni na sivipendi kama nini..ngozi yangu ni ya mafuta na huwa natumia sabuni za kawaida tu...naombeni ushauri nitumie nini ili niondokne navyo...!!!
 
Jamani ...mi huwa natoka vipele mara kwa mara usoni na sivipendi kama nini..ngozi yangu ni ya mafuta na huwa natumia sabuni za kawaida tu...naombeni ushauri nitumie nini ili niondokne navyo...!!!
Tumia Arabian queen soon vitaisha, sema andaa 25 elfu utasahau chunusi
 
Mimi pia nilikua na tatizo hilo hilo, vipelw vya mara kwa mara usoni, na uso wangu una mafuta, saivi natumia sabuni inaitwa Maxi-tone complexion clarity, cleanser ya Clear-N-Smooth na mafuta ya Clear-N-Smooth Maxi Britener. Saivi uso wangu umekuwa hauna doa hata moja much less chunusi.
Utapata hizi products original at SH Amon. U can try and thank me later
 
mommy..mi ni wa kiume, zitanifaa kweli hizo??
 
Pole sana kwa tatizo lako, lakini unaweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 nikakuonyesha bidhaa sahihi kwa ngozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Matokeo yake utayapenda.. Karibu
 
[quote uid=333828 name="mommythebest" post=20063346]Mimi pia nilikua na tatizo hilo hilo, vipelw vya mara kwa mara usoni, na uso wangu una mafuta, saivi natumia sabuni inaitwa Maxi-tone complexion clarity, cleanser ya Clear-N-Smooth na mafuta ya Clear-N-Smooth Maxi Britener. Saivi uso wangu umekuwa hauna doa hata moja much less chunusi. <br />Utapata hizi products original at SH Amon. U can try and thank me later[/QUOTE]<br />Pole sana kwa tatizo lako, lakini unaweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 nikakuonyesha bidhaa sahihi kwa ngozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Matokeo yake utayapenda.. Karibu
 
<br />Pole sana kwa tatizo lako, lakini unaweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 nikakuonyesha bidhaa sahihi kwa ngozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Matokeo yake utayapenda.. Karibu[/QUOTE]


hizo product zote 3 ni kama TSH NGAPI mtu aandae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…