Wewe unahitajiSerikali ya Magufuli ina vipaumbele vitatu kwa mtazamo wangu. Na naipongeza kwa uchaguzi makini wa vipaumbele hivi. Navyo ni kama ifuatavyo
1.Mapato
2.Mapato
3.Mapato
Ningependa ukwepaji kodi hata kama ni kidogo liwe ni kosa la kuhujumu uchumi na wakwepa kodi wapewe adhabu kubwa sana ikiwa ni pamoja na kucharazwa viboko.
Nyie mnafikiri kuwa na viwanda wakati kodi makusanyi.Kama kweli hivi ndio vipaumbele vya Magufuli basi kuna tatizo kwa watunga sera na wapanga mipango waliopo serikalini....kwa hiyo ule mpango wa kuifanya nchi kuwa ya uchumi wa kati kupitia mapinduzi ya viwanda ndio basi tena...??
Hivyo viwanda mtajenga kwa mawe? Kusanya kodi kwanza.. ukiwa na fedha hata akili inakaa vizuriWewe unahitaji
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
Mapato hata kama yatakuwa kwa asilimia 900% kama hakuna uzalishaji wa ndani,uuzaji bidhaa nje na matumizi mazuri ya mapato hayo ni kazi bure.
Ukiwa na fedha akili inakaa vizuri ??? Hivi kwenye mapato yako unapanga mipango kisha kutafuta fedha au unapata hela kisha unapanga ??? Kama unapata halafu ndo unapanga naomba uniambie na ni kwa asilimia gani umeweza kutekeleza mipango yako ??? Tusije tukawa tunaongelea serikali kumbe we mwenyewe hujielewii.Hivyo viwanda mtajenga kwa mawe? Kusanya kodi kwanza.. ukiwa na fedha hata akili inakaa vizuri
enzi tuliyopo ni ya huduma hivyo viwanda vinakuwa chaguo la pili na kilimo la kumi huko!Wewe unahitaji
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
Mapato hata kama yatakuwa kwa asilimia 900% kama hakuna uzalishaji wa ndani,uuzaji bidhaa nje na matumizi mazuri ya mapato hayo ni kazi bure.
Serikali yoyote ambayo haikusanyi mapato haifai ndugu yangu.. Mipango ipo tena mizuri.. ila fedha tunaachia wahuni .. Mipango sio tatizo lannchi hii. ipo nanitakuwepo.. shida ni fedha.Ukiwa na fedha akili inakaa vizuri ??? Hivi kwenye mapato yako unapanga mipango kisha kutafuta fedha au unapata hela kisha unapanga ??? Kama unapata halafu ndo unapanga naomba uniambie na ni kwa asilimia gani umeweza kutekeleza mipango yako ??? Tusije tukawa tunaongelea serikali kumbe we mwenyewe hujielewii.
Serikali ya Magufuli ina vipaumbele vitatu kwa mtazamo wangu. Na naipongeza kwa uchaguzi makini wa vipaumbele hivi. Navyo ni kama ifuatavyo
1.Mapato
2.Mapato
3.Mapato
Ningependa ukwepaji kodi hata kama ni kidogo liwe ni kosa la kuhujumu uchumi na wakwepa kodi wapewe adhabu kubwa sana ikiwa ni pamoja na kucharazwa viboko.
Wewe ni miongoni mwa wale L46B7 ambao dhaifu aliwaombea rehema kwa Magu?Nyie mnafikiri kuwa na viwanda wakati kodi makusanyi.