Pengo kasema maisha yamekua mazuri awamu hiiMaaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta kutotia saini mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi yaliyopitishwa na wabunge.
Viongozi wetu wasiishie kumpongeza tu pia wawe mstari wa mbele kumshauri mambo muhimu kama haya. Nilitegemea ushauri kama huu kutolewa na viongozi wetu wa dini kwa rais Magufuli kabla ya kusaini muswada wa vyombo vya habari na ule wa sheria ya mitandao inayoonekana kukiuka haki ya binadamu kuwa huru kutoa maoni yake.
Wiki iliyopita wabunge wa upinzani (CORD) walipinga sheria itakayoruhusu kuhesabu kura kwa njia ya kawaida pale ambapo mashine za kuhesabu kura zitakwama au kushindwa kufanya kazi hiyo.
Wametishia kuingia barabarani ifikapo jan 4 iwapo sheria hiyo itasainiwa.
Kenya inajiandaa kufanya uchaguzi wake mkuu August mwaka ujao.
Labda walimnukuu vibaya.Pengo kasema maisha yamekua mazuri awamu hii
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta kutotia saini mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi yaliyopitishwa na wabunge.
Viongozi wetu wasiishie kumpongeza tu pia wawe mstari wa mbele kumshauri mambo muhimu kama haya. Nilitegemea ushauri kama huu kutolewa na viongozi wetu wa dini kwa rais Magufuli kabla ya kusaini muswada wa vyombo vya habari na ule wa sheria ya mitandao inayoonekana kukiuka haki ya binadamu kuwa huru kutoa maoni yake.
Wiki iliyopita wabunge wa upinzani (CORD) walipinga sheria itakayoruhusu kuhesabu kura kwa njia ya kawaida pale ambapo mashine za kuhesabu kura zitakwama au kushindwa kufanya kazi hiyo.
Wametishia kuingia barabarani ifikapo jan 4 iwapo sheria hiyo itasainiwa.
Kenya inajiandaa kufanya uchaguzi wake mkuu August mwaka ujao.
Mimi ni Mkatoliki, Pengo simtaki katu. Ni mpiga dili na mdini mkubwa. Simtaki, akae madhabahuni basi. Sadaka tutaleta asiwe na wasi wasiViongozi wa dini tanzania wengi ni wanafiki na wachumia tumbo,ukitaka kuwadharau ni pale walipoomba kuonana na magu kwa isue ya ukuta sijui walipigwa mkwara wote kimya mpaka leo,tanzania tusiwategemee viongozi wa dini kwenye mambo ya kitaifa ni wanafiki sana,pengo ndio usiseme kwanza ana udini sana,wakati wa kikwete alikuwa anamng'ong'a lkn sasa hivi si unamuona anavyosifia eti watanzania maisha yamekuwa marahisi awamu hii anasahau kwamba,
Sukari ilikuwa 1500 kwa kilo sasa ni 2600 kwa kilo.
Sembe ilikuwa 900 kwa kilo sasa ni 1700 kwa kilo,watanzania tunaonewa kwa kukosa elimu na wenye elimu ni wabinafsi,nchi iliyolaaniwa tanzania,viongozi wa dini tanzania ni wa kupewa sumu ya panya.........
Pengo kasema maisha yamekua mazuri awamu hii
Wa DRC walifanyaje mkuu? Hebu nidokeze maana inaonekana ni habari nisiyoijua.
Asante mkuu, nitagoogle sasa hivi. Tunahitaji viongozi wa dini wasio na hofu na wenye kusimamia haki na ukweli hata kama iwe ni kwa gharama gani. Kulamba miguu ya wakuu wa siri-kali iwe mwisho.Wale jamaa ni noma akseh wana mapenzi ya kweli na nchi yao, Ebu Google maafikianao ya kisiasa DRC
Mdini kivipi? Acha unafikiMimi ni Mkatoliki, Pengo simtaki katu. Ni mpiga dili na mdini mkubwa. Simtaki, akae madhabahuni basi. Sadaka tutaleta asiwe na wasi wasi
Kama huoni basi, kwaheriMdini kivipi? Acha unafiki
Akili zenu feki ndo maana CCM itaedelea kutawala daima.Kama huoni basi, kwaheri