Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
23,815
56,817
VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru kimoyomoyo.

Tayari umeshakuwa Mfalme au Rais au nafasi kubwa kijamii au kwenye kampuni au shirika au jambo lolote lile ambalo linakutambulisha kama mtawala au kiongozi. Basi jitahidi sana uwe mwerevu. Kama mpango wako ni kukaa kwa muda mrefu basi nivizuri ufuate kanuni za simba MWENDAPOLE ambaye siku zote ndiye hula nyama.

Kwa sisi watibeli hakuna mtu au utawala rahisi kuuangusha kama utawala wa mtu anayetishiatishia watu Majukwaani. Anayeropoka ropoka. Ni rahisi sana. Tena sana.

Kutafuta code na intelligence data kwa mtu mwongeaji na anayetishia ni rahisi sana tofauti na mtu asiyemwongeage.

Hata katika michezo tuu kama Masumbwi wale wenye kuongeaongea sana au kutishiatishia mara nyingi hubakuliwa na wengi huishia kipigo cha TKO.

Kwa sisi watibeli, tunapofika sehemu yoyote katika kusoma saikolojia ya watu wa eneo husika tunazingatia zaidi kanuni ya Low Keys na High Keys.
Watu wengi ambao hupenda kuheshimiwa(high Key) ni watu wenye akili Ndogo na kama wakiwa VIONGOZI au watawala ni rahisi kudili nao kwa namna yoyote Ile.

Tofauti na wale watu humble ambao hawajali sana kuhusu heshima. Yaani wao uwaheshimu au usiwaheshimu kwao sio big deal ilimradi mambo yao yanaenda na mipango ya kazi inafanyika.
Kiongozi ambaye ni Low Key ni hatari sana pale atakapoamua kudili na wewe. Wengi wao wapo very Smart.
Atakupiga kama hakupigi.
Atakupiga alafu hutaamini umepigwa na yeye.
Atakupiga huku akiwa anatabasamu.
Hana haja ya kukunjia uso ili umwogope au kumemheshimu.
Heshima au hofu yako haimsaidie chochote.

Kwa kifupi VIONGOZI Low Key ukiwaita wanadharau na niwapuuzi sana.
Hawataki heshima kwa Kila mtu isipokuwa watu Fulani Fulani.

1. Jifunze kuzuia mihemko yako.
2. Usitake heshima kwa Kila mtu wala kuogopwa na Kila mtu.
Kadiri unavyotafuta heshima kwa Kila mtu unajijengea kudharauliwa na Kila mtu.
Ukitaka Kila mtu akuogope unatengeneza mazingira ya wale wakubwa wenzako kutokukuogopa.

3. Siku zote simba MWENDAPOLE NDIYE anayekula nyama.
Usiwe roporopo.
Adui zako hawatishwi na maneno yako ila wanatishwa na ukimya wako.
Kadiri unavyojiongelesha Majukwaani ndivyo wenzako wanavyo scan code zako na kukuelewa.
Tena wengine hukuchokoza makusudi ili wajue nini kinaendelea katika akili yako.

4. Njia rahisi ya kuwatawala watu ni kuwapa Uhuru bandia(demokrasia)
Na njia rahisi ya kushindwa kutawala watu ni kuwanyima na kubana Uhuru wao.
Watawala wenye akili wanajua nazungumzia nini.
Hata kwenye ndoa.
Kama unataka familia yako uweze kuimudu ni lazima utoe Uhuru bandia (demokrasia. Kadiri unavyoibana na kuwanyima watoto na Mke Uhuru na kuwapa vitisho vyako vya kijinga ndivyo unavyotengeneza maadui ndani ya familia na mara nyingi wanaume wenye vitisho familia huwashinda na Kuona wake au watoto zao ni wabaya.

Kumpa mtu Uhuru ni kuruhusu kucheza na akili yake.
Kumnyima mtu Uhuru ni kumruhusu mtu acheze na akili yako. Ata-fake na utashindwa kumwelewa. Na huwezi mtawala mtu au kiumbe usiyemwelewa wala kumjua.

5. Onyesha unawapenda adui zako.
Kiutawala ni kosa kubwa kuonyesha dhahiri shahiri unamchukia adui yako.
Hata kiimani unaambiwa mwombee adui yako na wapendeni wanaowaudhi.
Lakini hiyo ni mbele za watu nyuma ya pazia stori ni nyingine kabisa.

Ogopa mtu unayemkosea na ni adui yako alafu anajifanya anakupenda na kukuchekea chekea😄😄.
Roporopo hao ni rahisi kucheza nao kwa sababu hawanaga mipango. Wanaendeshwa na hofu, inferiority complex na wakati mwingine sifa.

Kujifanya mkaksi mbele ya adui zako haibadili chochote na haikupi ushindi wowote ule zaidi unajichoresha.

6. Tengeneza maadui bandia.
Maadui hawa kazi yao ni kumchanganya adui wa kweli.
Adui halisi/wakweli atataka kuungana na maadui zako bandia bila ya yeye kujua kuwa hao ni watu wako. Na hivyo utakuwa umemaliza kazi.
Adui bandia hakikisha mnapelekana kikwelikweli kasoro kutoana roho. Hii itamfanya adui halisi amuamini adui bandia na kujiingiza kwenye mfumo.

7. Muangamize Adui yako mwishoni. Usitake kumuangamiza mapema itakupunguzia utukufu na kuzalisha maadui wengi zaidi.
Adui mmoja hawezi kukushinda lakini kumuua mapema itamaanisha umeshindwa kwani utatengeneza na kuzalisha maadui wengi zaidi.

Dili na maadui wanaomuunga mkono adui yako halisi huku ukimwacha mwacha adui halisi kuendeleza pambano lenu.

Kumwacha adui kuu ni kwa sababu hiyo ndio target. Endapo utapiga Target mapema utazalisha viadui vingi vidogo vidogo na kukufanya uwe na Targets nyingi na kama huna shabaha zinaweza kukuangusha au kukuondolea focus ya kutawala.

Kiimani Mungu hakuwa mjinga kumwacha shetani mpaka siku ya mwisho. Kwa sisi watibeli na majasusi tunaelewa maana yake.

Vita ya Urusi na Marekani pia ni mfano wa ninachokiongelea.

Acha nikale kande langu la Sabato, kisha nistarehe zangu

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Kila binadamu anahulka yake usilazimishe wote wawe na hulka inayofanana na hichi ndicho kinatutofautisha sisi binadamu.
 
Ndugu Chalamila alichokifanya kitatafuna mpaka kizazi chake, nimechukia sana ,mda mwalim
 
Si unaona Samia alivyousambaratisha upinzani.
Ukitaka kuumaliza upinzani ruhusu demokrasia wakitaka maandamano wape police wawalinde,
 
si ni sawa na wenye mihemko na ghadhabu zisizo na sababu tu :pulpTRAVOLTA:
 
Huwezi kuona Mbunge au diwani anatishia wananchi sababu anajua ndiyo waajiri wake, lakini hawa wajinga DCs/RCs wapo juu ya sheria
 
Binadamu na hulka yake hawezi kubadilisha baadhi ya Laws
Kama laws zimetongwa na binadamu kwa nini binadamu ashindwe zibadilisha? Sikia mkuu laws zimetungwa kwa ajili ya kufaa kizazi fulani na mambo fulani kutokana na wakati fulani, ndio maana huwa zinabadilishwa. Pia kutokana na kutofautiana akili na mtizamo wewe unaweza kuona law fulani inakufaa kwa sasa na mwingine akaona haifai na akakupa sababu kwa nini haifai. Na ndio maana unaweza kuwapa wanafunzi wasolve hesabu fulani na kila mtu akatumia njia yake na muda wake kufikia jibu hapo ndio ujue kila mtu ana uwezo wake na mtizamo katika kusolve he same problem, kwa hiyo heshimu mtizamo na hulka ya mtu hiyo ndiyo inayomtofautisha Juma na Rashidi au John na Joseph.
 
Sikatai kuwa Kila mtu ananamna na njia ya kutawala. Nilichoeleza hapa ni kuwa hao wanaotumia njia za vitisho wengi wao hawatoboi kwenye Ringi.

Sipo hapa kuelezea mtizamo au kubadilisha hulka au silka ya mtu yeyote isipokuwa kuelezea matokeo ya baadhi ya mitizamo, hulka au mbinu.
 
Kwa mimi ambaye nimekuwa sehemu ya utendaji ngazi za chini Serikalini haswa halmashauri, ninawaunga mkono baadhi ya viongozi kama Chalamila.

Haswa pale Mawasiliano bila mkwara wale watu hawaelewi.

Hujiona Soko na stendi ni vya kwao.
 
Back
Top Bottom