Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,778
- 14,084
Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani.
Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za magharibi na kulazimishwa juu yao.
Tangu mkutano huo kumalizika kiongozi huyo wa Marekani ameonekana kupwaya sana na kuacha hata kulizungumzia tena suala hilo tamko lake alilolitoa kwa mbwembwe na vitisho vingi na kuungwa mkono na kiongozi wa Israel na swahiba yake Benjamin Netanyahu