Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel.
Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.
Nchi kadhaa zimeonekana kuongeza shinikizo kwenye mahakama hiyo zikitolea mifano mingi ya uhalifu uliofanyika Gaza na ukingo wa magharibi na ule unaoendelea.