Viongozi wa Israel kuanza kujifungia ndani kuogopa kukamatwa na ICC

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
8,626
13,852
Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel.

Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.

Nchi kadhaa zimeonekana kuongeza shinikizo kwenye mahakama hiyo zikitolea mifano mingi ya uhalifu uliofanyika Gaza na ukingo wa magharibi na ule unaoendelea.

Israeli officials concerned about possible ICC arrest warrants as pressure mounts over war in Gaza

1714402396816.png
 
Hiyo ICC ilishamkamata nani? Tofauti na waafrika wachache na rais mstaafu wa Kossovo? Wana jeshi la kukamata mtu au wana magereza ya kufunga watu?
Sasa kwanini Putin alishindwa kwenda South Africa.
 
Sababu aliona west watawanyanyasa sana south Africa, kaona asije leta msala Kwa mshikaji wake lakina hakuna wa kumkamata kama angeenda
Kwa hivyo na Israel wasiigope ICC .wafanye wanavyotaka Gaza.
 
Putin anayeua watu ktk nchi nyingine asikamatwe aje akamatwe Netanyahu anayejitetea.? Halafu kwanza watamkamatia wapi.
 
Kwa hivyo hiyo mahakama ni kwa ajili ya baadhi ya viongozi sio kwa viongozi wahalifu wote.
 
Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel.

Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.

Nchi kadhaa zimeonekana kuongeza shinikizo kwenye mahakama hiyo zikitolea mifano mingi ya uhalifu uliofanyika Gaza na ukingo wa magharibi na ule unaoendelea.

Israeli officials concerned about possible ICC arrest warrants as pressure mounts over war in Gaza

Dogo, acha ndoto za alinacha.
 
Back
Top Bottom