Viongozi wa Chadema wamefungwa, Watanzania wengi wanaojinadi wapinzani nyuma ya keyboard hawana habari,upinzani mfikirie upya, mtaumizwa sana

round kick

JF-Expert Member
Feb 3, 2025
674
2,314
Muda huu Lissu kadakwa, Heche kadakwa, Mnyika kadakwa, na viongozi wengine wengi wa Chadema.

Lakini watanzania wanaojitamba ni wapinzani huko vijiweni na mitandaoni hawana habari, maisha yanaendelea kama kawaida

Talk of the town muda huu ni kuhusu nusu fainali ya Simba, Mwijaku, Harusi ya Jux, n.k.

Upinzani mjitafakari sana, kuhangaikia kitu ambacho hakina support utaumia sana,
 
Unadhiirisha akili za Tanzania ni bogasi ni kufuata umbeya zaidi kuliko mambo ya maana. Ndiyo maana elimu inachezewa Leo na wanajadili kufundisha kwa kiswahili alafu sekondali zetu alafu watoto wao wanapelekwa nje na shule binafsi na bado mnakata mauno kushangilia. Heche alishawaambia asimame mbunge mmoja au waziri mtoto wake anasoma kayumba maana mnasema ni shule nzuri mbwa wote wakafyata mkia. Akawauliza Tena Kama nzuri kwanini watoto wenu awasomi?. Yakatoa macho Kama mabundi. Jinga kabisa
 
Muda huu Lissu kadakwa, Heche kadakwa, Mnyika kadakwa, na viongozi wengine wengi wa Chadema.

Lakini watanzania wanaojitamba ni wapinzani huko vijiweni na mitandaoni hawana habari, maisha yanaendelea kama kawaida

Talk of the town muda huu ni kuhusu nusu fainali ya Simba, Mwijaku, Harusi ya Jux, n.k.

Upinzani mjitafakari sana, kuhangaikia kitu ambacho hakina support utaumia sana,
Yupo wapi magu? Yupo wapi Elibashiri wa Sudan? Yupo wapi Robert wa Zimbabwe? Yupo wa idd Amini dada wa Uganda? Yupo wapi rungu wa zambia? Yupo wapi Chiluba? Bokasa? Mabutu? Sadam Husein? Wewe ndiyo ujitafakari kwani huna mkataba na mungu , hakuna mabaya yasiyo na mwisho hao Polisiccm watastaafu watarejea mitaani laana za uonevu zitawafuata walipo
 
Dawa ya kuwakomesha Polisiccm waonevu ni kuwapigia Dua mmoja mmoja kumlilia mungu kwa bidii bila kuchoka
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
ben+saananee.jpg

Marehemu Ben Saanane enzi za uhai wake kabda ya uhai wake kukatishwa kwa mkono wa Magufuli.

In the name of President 👈
 
Back
Top Bottom